Wanafunzi wa Interns KADA zote (MD's, Nurses, Radiographers, etc) Wa BENJAMIN MKAPA HOSPITAL 🏥 hatulipwi pesa zetu za Kila mwezi kwa wakati. Kama wenzetu wa hospital nyingine nchini.
Maisha ya DODOMA magumu watukumbuke jamani na sisi ni watu sio wanyama tunashida wajali uwepo wetu pale
Nilitegemea kwa hali ya sasa watawala wangelionesha signs za remorse kwa yliyotokea 29/10. Na kutaka kuliondoa taifa kwenye giza hili. Hilo halipo...
Kwa sasa unaona kabisa kuwa wanatamani Gen Z woooooooooooooooote /watanganyika woooooooooooooooooote wauawe wabaki na wazanzibar may be na...
Mwaka huu nilikutana na clip ya music ikitembea WhatsApp na YouTube.
Kiukweli aina ya uimbaji, uchezaji na upigaji wa ala za music ilinishangaza na kunifurahisha kwa pamoja.
Hii ilinikumbusha DDC Milimani Park, Ottu jazz, Vijana jazz nk
Huu ndio Mziki ambao unaendelea kutrend hadi Leo kwenye...
Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao.
Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii.
Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu malipo ya posho zetu za kujikimu.
Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka ili tupate haki zetu kwa...
Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI.
Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
haki
haki sawa
kujikimu
malipo
mpya
sawa
tunahitaji
walimu
Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu hilo wala kama kuna malipo mengine yatakayofuatia na lini.
Kumekuwa na...
Anonymous
Thread
kidogo
kuhusu
kujikimu
posho
singida
tofauti
tunahitaji
ufafanuzi
watumishi
watumishi wapya
Kama bado tuna mpango wa kuendelea na mfumo wa vyama na demokrasia kama nchi inabidi kuwa na Mahakama maalumu ya Katiba ya kudumu kama vile South Africa, Zambia na Senegal kushugulika na kesi zote za kikatiba na kesi zinazohusu uchaguzi wa viongozi wa serikali.
Mfumo wa mahakama tulio nao wa...
Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa.
Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali
Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo...
Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia Wafanyakazi wa vituoni kama "mbuzi wa kafara."
Hakuna mfanyakazi wa kituo anayeweza kuiba Sh 100,000...
Anonymous (b60c)
Thread
hali
mbaya
mshahara
nyongeza
nyongeza ya mshahara
tunahitaji
udart
uongozi
wafanyakazi
Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life"
Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko.
Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio...
Serikali imekuja na gea ya kutaka maridhiano. Je, tunaanzaje wakati walioumiza wenzao ndiyo wamejipa mamlaka ya kusamehe? Nani anamsamehe nani bila kujua nani alifanya nini na kwanini?
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi.
Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni...
Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA?
Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu:
1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.
Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
Je, unatumia Fuga App? Tunataka kujua uzoefu wako na jinsi tunaweza kuifanya bora zaidi kwa ajili yako.
Jaza dodoso hili kwa dakika 2 tu na tusaidie kukupa huduma bora zaidi.
👉 [Utafiti wa Watumiaji Fuga App Kwa Wafugaji wa Kuku]
Shukrani kwa kuwa sehemu ya safari ya Fuga – pamoja tunaleta...
Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata wapi.
Na hapa sisemi kwamba nakubaliana na falsafa ya Ujamaa, najaribu kuzungumzia masuala ya fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.