• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

korosho

 1. R

  Pamba, Korosho Mmeshindwa kununua sasa mnanyang'anya Watu Choroko zao

  Habari wana JF Nimeona taarifa zikimuonesha Mkuu wa Wilaya ya Magu akiwanyang'anya wafanyabiashara shehena za choroko walizonunua kutoka kwa wakulima kwa madai ya kutotumia vyama vya ushirika kununua zao hilo. Swali la kujiuliza, kwa nini serikali ya Rais Magufuli haitaki kujifunza kuwa...
 2. Hakimu Mfawidhi

  Serikali mkoani Lindi imekiri kudaiwa TZS Billioni 6.9 za wakulima wa korosho ambao hawajalipwa 2018/2019

  Serikali mkoani Lindi imekiri kua inadaiwa na wakulima wa korosho kiasi cha Bilioni 6.9 za wakulima wa korosho kwa msimu wa 2018/2019. Wakulima hao ni wale serikali ilichukua korosho zao na kuahidi kuwalipa ila hadi sasa hawajalipwa. Serikali inadai sababu kubwa ya kuchelewa kuwipa ni kutokana...
 3. Planett

  Korosho Vs Nyanya

  Nyanya ringa tuu ona mwenzio aliringa sana leo ana bandage kichwani.
 4. Analogia Malenga

  Wakulima walipwa bil. 68/- za korosho

  Hayo yalibainishwa na Meneja wa MAMCU tawi la Masasi, Joseph Mmole, alipokuwa akizungumza na gazeti hili, kuhusu malipo ya zao la korosho kwa msimu wa 2019/2020. Mmole alisema zaidi ya kilo milioni 47.3 za korosho za wakulima wa vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) katika Wilaya ya Masasi na...
 5. elivina shambuni

  Wakulima korosho wauza kwa bei juu

  WAKULIMA wa korosho Mkoa wa Lindi wameuza korosho kwa bei ya juu ya Sh 2,825 na chini Sh 2,520 daraja la kwanza na pili kwa Sh 2,337. Kaimu Mrajisi wa vyama vya msingi ushirika mkoa wa Lindi, Robert Nsunza ameyasema hayo jana. Alisema daraja la pili ilipatikana kwa chama kikuu cha ushirika cha...
 6. elivina shambuni

  Lindi: Bei ya korosho kwa mnada wa tano kwa msimu wa mwaka 2019/20 katika chama kikuu cha ushirika cha RUNALI imeongezeka

  Bei ya korosho kwa mnada wa tano, msimu wa 2019/2020 katika chama kikuu cha ushirika cha RUNALI, mkoa wa Lindi imeongezeka ikilinganishwa na mnada wa wanne. Akizungumza na Muungwana Blog mara tu ya kukamilika kwa mnada huo uliofanyika katika ghala la Umoja, lililopo mjini Liwale. Meneja mkuu wa...
 7. S

  Mtwara: Madiwani wa Mji Masasi wadai malipo ya Korosho yamechochea biashara ya ngono

  Malipo ya Korosho kwa wakulima wilayani Masasi Mkoani Mtwara yametajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la uwepo wa kina dada wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo ili kujipatia fedha hizo za korosho. Hayo yalisemwa jana wilayani Masasi na Madiwani wa halmashauri ya mji Masasi walipokuwa...
 8. elivina shambuni

  TANI 4,852,851 ZA KOROSHO GHAFI ZAUZWA LINDI

  Mkoani Lindi mwishoni mwa wiki. Kaimu Mrajisi wa Vyama vya msingi vya ushirika mkoani Lindi, Robert Nsunza alisema tani 2,111 ziliuzwa katika mnada Nachingwea Jumapili. Wanunuzi walitaka tani 13,000. Bei ya juu katika mnada huo ilikuwa Sh 2,812 na chini Sh 2,790 korosho ghafi. Zilizokuwapo...
 9. N

  Tani 4,852,851 za korosho ghafi zauzwa Lindi

  Tani 4,852,851 za korosho ghafi zimeuzwa katika minada miwili iliyofanyika kwa nyakati tofauti katika Wilaya za Lindi na Nachingwea mkoani Lindi mwishoni mwa wiki. Kaimu Mrajisi wa Vyama vya msingi vya ushirika mkoani Lindi, Robert Nsunza alisema tani 2,111 ziliuzwa katika mnada Nachingwea...
 10. S

  Mkuranga: Mwenyekiti wa Halmashauri aapa kuanza kulifuatilia zao la korosho la eneo hilo jino kwa jino

  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mkuranga, Juma Abeid, anasema kuna jumla ya wakazi zaidi ya laki mbili kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2012, ina kata 25, vijiji 125 na vitongoji 475, zao lao kuu la biashara ni korosho. Pia, anataja mazao mengine wilayani ni pamoja na nanasi, mihogo, korosho...
 11. elivina shambuni

  Tani 6,740 korosho ghafi zauzwa

  Jumla ya tani 6,740 za korosho ghafi zimeuzwa katika minada miwili iliyofanyika katika wilaya za Kilwa na Ruangwa mkoani Lindi mwishoni mwa wiki katika msimu wa mwaka huu. Bei ya juu katika minada hiyo ilikuwa Sh 2,795 na chini ilikuwa Sh 2,675 kwa kilo moja kwa korosho ghafi. Kaimu Msajili wa...
 12. MnolelaKorosho

  Tunauza miche ya kisasa ya korosho

  TANGAZO TANGAZO Miche ya kisasa ya korosho inapatikana sasa. Ni miche bora inayoanza kutoa korosho mapema na isiyoshambuliwa na magonjwa kirahisi. Toa oda sasa kwa mahitaji yako ya miche korosho. Tunapatikana mkoani Lindi. Na tunafikisha miche popote pale Tanzania. BEI NI SHILINGI 1500 KWA...
 13. J

  Serikali yabaini ubadhirifu mabilioni ya fedha za malipo ya korosho. Wakulima wasiolipwa watakiwa kujitokeza na CAG kuikagua bodi ya Korosho

  Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo. Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko. Kadhalika Waziri amewataka...
 14. elivina shambuni

  Viwanda vya juisi, pombe ya korosho vyaja

  WAFANYABIASHARA wakubwa wa korosho, wawekezaji na watafi ti 169 kutoka nchi 13 duniani zikiwamo nchi zinazoongoza kwa ununuzi wa korosho, India na Vietnam, wamekubaliana kuzuia uuzwaji wa korosho ghafi kutoka nchini kwenda nje ya nchi. Badala yake, wametaka korosho iendelezwe hapa hapa nchini...
 15. elivina shambuni

  Tani 13,100 za korosho zauzwa

  TANI 13,100 za korosho zimeuzwa katika mnada wa kwanza wa zao hilo na bei ya juu ikiwa ni Sh 2,525 na bei ya chini ni Sh 2,468. Zimeuzwa katika Chama Kikuu cha Ushirika cha Newala & Tandahimba (TANECU) kwenye uzinduzi wa msimu huu wa mwaka 2019/2020. Katika mnada uliofanyika wilayani Newala...
 16. elivina shambuni

  'Moto wawababua' wezi wa fedha za wakulima wa ufuta wawafikia na kuwatesa wezi wa fedha za wakulima wa Korosho

  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) mkoani Lindi imeanza kuwabana viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika ( AMCOS) ambao vyama vyao havijawalipa wakulima wa Korosho. Budi alisema wakulima wa korosho ambao hawajalipwa fedha zao wameanza kujitokeza na kulalamika baada ya kusikia...
 17. elivina shambuni

  'Moto wawababua' wezi wa fedha za wakulima wa ufuta wawafikia na kuwatesa wezi wa fedha za wakulima wa Korosho

  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) mkoani Lindi imeanza kuwabana viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika ( AMCOS) ambao vyama vyao havijawalipa wakulima wa Korosho. Budi alisema wakulima wa korosho ambao hawajalipwa fedha zao wameanza kujitokeza na kulalamika baada ya kusikia...
 18. elivina shambuni

  Mfumo mpya ununuzi wa korosho kuvuna bil.720/

  MFUMO mpya wa ununuzi wa korosho kwa msimu wa mwaka 2019/2020, unatarajia kuwaingizia wakulima Sh bilioni 720. Tayari mfumo huo umeanza kwa mafanikio, baada ya minada ya kwanza iliyofanyika juzi katika Wilaya za Tandahimba na Masasi, ambapo vyama viwili vikuu vya Ushirika vya TANECU na MAMCU...
 19. beth

  Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

  Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19 Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
 20. J

  Mjapani: Inakuwaje watanzania zaidi ya milioni 50 mnashindwa kubangua korosho na kulazimika kuiuza kama malighafi?

  Yule rafiki yangu injinia kutokea Japan ameshangazwa na taifa kubwa kama Tanzania lenye watu zaidi ya milioni 50 kushindwa kubangua korosho. Mjapani ameniambia kuwa nguvu wanayoitumia wanasiasa kuongea kwa mdomo wangeishusha kwenye mikono yao taifa hili lingepiga hatua kubwa. Yaani unauza...
Top