nifanye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aBuwash

    Nina milioni 10, biashara gani mnanishauri nifanye maeneo ya Kahama?

    Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini hamtaniangusha.
  2. U

    Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  3. M

    Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya Printing?

    Naombeni msaada wa mawazo. Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya PRINTING? Katika maeneo niliotaja BANANA KITUNDA AIRPOT GONGOLAMBOTO GOMZ
  4. amate

    Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

    Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF. Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba. Je, shughuli gani kati ya (kilimo cha mahindi, maharage, etc) na Biashara (ndogo-ndogo) kinaweza kumusaidia kwa haraka kupata hela ya...
  5. S

    Mahakama Kuchelewa/Kushindwa Kufanya Utekelezaji Wa Hukumu, Natakiwa Nifanye Nini?

    Kwema Wakuu? Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam. Bwana yule alikiri kudaiwa na mimi na akahidi kua atakua analipa kidogo kidogo na pesa atakua anakuja kuzilipia...
  6. SPONSA

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha...
  7. J

    Nimeachwa nifanye nini

    2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
  8. M

    Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  9. Pleasepast

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  10. KENZY

    USSD haileti keyboard ya maneno nifanye nini?

    wakuu habari ningependa kujua au kupata ufafanuzi na utatuzi kama inawezekana. USSD imekuwa haileti keyboard ya maneno ni namba tu so siwezi kuandika hata #. Nifanye nini kutatua?
  11. Mganguzi

    USHAURI: Vipimo vya UKIMWI kupitia mdomo vinaonesha mmoja wetu ameathirika, sasa hataki tena kunipa unyumba

    Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja. Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
  12. W

    Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika. Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao. Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha...
  13. jastertz

    Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga, Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha, Hii imekaaje wadau... seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
  14. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
  15. B

    Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
  16. Tommy 911

    Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
  17. Econometrician

    Jamani madaktri wa macho nifanye nini katika hili?

    Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana hasa wakati nikitoka kulala au kukiwa na jua na usiku mwanga wa gari au pikipiki unaniumiza pia...
  18. A

    Maoni yangu jinsi ya kuboresha Sekta ya Elimu nchini

    Habari wana bodi ni matumaini Yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kitanzania miaka 23 pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi. Siku ya Leo nimewaza Sana ambayo yanaweza boresha sekta ya elimu na maisha ya walimu kwa ujumla kama ifuatavyo; 01. Kuwe na Kodi ya...
  19. M

    Biashara gani nifanye kuanzia leo july,august,september,november ,december na january?

    Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu. Unanishairi nifanye kitu gani na miki niingize mia miambili? Nifanye biashara gani? Itakayo nilipa? Niko mbagala
  20. Hyrax

    Naomba ushauri Ninunue Bajaji au IST Nifanye Uber/Bolt

    Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
Back
Top Bottom