panya

Panya (Russian: Панья) is a rural locality (a village) in Leninskoye Rural Settlement, Kudymkarsky District, Perm Krai, Russia. The population was 11 as of 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka yake shetani

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu. Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana kufurahia safari ya ndege ya Srilankan Airlines Airbus A330 kutoka mji wa Lahore, nchini Pakistan siku ya...
  2. wa stendi

    Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

    Huku mtaani kuna vipanya fulani hivi vina pua ndefu na mlio mkali sana vikilia utadhani ni mtu anasugua chuma. Cha ajabu hivi vipanya ukitega kwenye mtego kikanasa panya mwenzake akija kukikuta hapo anamla utumbo na nyama laini zote za ndani ngozi anakuachia hapo. Kingine hawa panya hata...
  3. Wadiz

    Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

    Habarini, Kuna namna CCM haina mfumo wa kuwatumia malegend wake katika forums/majukwaa na haina forums za kuwatumia Wastaafu wake kiushauri. Katokana na hali inayojirudia kwa Mzee Paul Kimiti amekuwa mwenye kutoa mawazo yake kila akipata fursa ya kutoa neno. Kwa namna ya utoaji maoni wake...
  4. GENTAMYCINE

    Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Walianza nzi kisha wakafa wote, kisha akaingia panya naye akafa pasi na kuuawa.

    Kwema Wakuu! Moja ya matukio ambayo mpaka leo sijayapatia majibu ni pamoja na tukio lililotokea mwaka jana katika chumba changu(kwani nimepanga chumba kimoja) Nimeamka asubuhi nakuta kwenye mapazia nzi wametanda, ni wale nzi wakubwa wa chooni. Yaani ni wengi haswa. Wametoka wapi sijui. Sasa...
  6. M

    Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Alichoandika Peter Madeleka. Hakuna “PANYA ROAD” anastahili KUULIWA bila kufikishwa MAHAKAMANI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA za nchi yetu. Nitakwenda MAHAMANI ili KUTHIBITISHA UONGO juu ya MAUAJI ya RAIA hao hapo. Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa...
  7. Doto12

    Panya Road Tena

    Hawa jamaa wamerudi tena amekeni amkeni. Kukosa ajira na ulinzi dhaifu https://www.jamiiforums.com/threads/vyombo-vya-ulinzi-mmewashindwa-panya-road.2163327/page-2#post-48617937 https://www.jamiiforums.com/threads/mpango-wa-miaka-5-ya-kurekebisha-vijana-panya-road.2101975/
  8. Dr. Zaganza

    Muige panya katika harakati za utafutaji, utatoboa

    Nadhani wote tunamjua mnyama panya, sasa bwana panya anajua kabisa akisema amkimbie binadamu kwa kuogopa kifo na kuhamia porini, atakufa njaa. Tena kabla ya njaa huenda akauliwa na wanyama wakali zaidi. Anachofanya panya ni kusoma ratiba ya binadamu ndani ya nyumba, saa ngapi anaenda kazini...
  9. R

    Nasikia Panya Road wamerejea kwa kasi DSM wanatafuta fedha ya sikukuu; chukua taadhari

    Kuna jamaa yangu kavamiwa jana huko maeneo ya Kinyerezi na kundi la vibaka wakamsachi na kuchukua kila alichokuwa nacho. Anachoshukuru ni kwamba amefanikiwa kuondoka akiwa mzima wa afya na sasa yupo njiani kurejea Mwanza. Naongea naye ananiambia kwa idadi ya vijana waliomvamia aliona kifo...
  10. Kiby

    Panya aliyefungwa kengele kuzivuta sharubu za panya

    Nikienda kwenye hoja moja kwa moja niseme. CCM ni panya aliyejifunga kengele kuzikamata sharubu za paka. Roman katoliki ni taasisi inayoheshimika duniani na kuogopwa na watawala wengi. Kikubwa cha kuogopwa kwao ni usomi na ubobezi wa kuweza kuleta mageuzi ya kimfumo na utawala wa nchi nyingi...
  11. U

    Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

    Ni miezi sasa panya wamekuwa wananisumbua sana! Nimejaribu dawa za unga mweusi zinazouzwa dukani zimeshindwa, zile za pellets ndiyo hamna kitu!! Panya hawa huingia ndani mwangu kuanzia jioni na hunichachafya hadi asubuhi! Nimewafuatilia naona wanatoka kwa jirani Kwangu kuna fence ajabu...
  12. M

    Panya road waliovaa suti?

    Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
  13. benzemah

    Panya wa SUA Wapata Majukumu Bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema miongoni mwa njia wanazozitumia kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa bidhaa zinazotokana na wanyamapori ni kukagua mizigo bandarini kwa kutumia panya wenye mafunzo maalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA). Kauli hiyo imetolewa na...
  14. benzemah

    Panya "Ronin" kumpiku magawa kwa uteguaji mabomu

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimesema panya dume "Ronin" anayefanya kazi ya kutafuta mabomu na vilipuzi nchini Cambodia, uwezo wake ni mkubwa unaokaribia kumzidi mtangulizi wake panya Magawa. Ofisa Mawasiliano wa Mradi wa Apopo SUA, Humphrey Makusa, alisema hayo juzi katika kituo...
  15. FIKRA NASAHA

    SoC03 Mpango wa miaka 5 ya kurekebisha vijana - Panya Road

    An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii. Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji, Ufundi na Kazi za Amali, Mila, Utamaduni na Uzalendo. Haya Matukio ya Panya Road, yananikumbusha tukio...
  16. Mshana Jr

    Mpina, Panya anayejaribu kumvisha paka kengele!

    Kuna usemi unasema, "Usimuone kima mjini ukamrushia jiwe (yaani hakufika pale peke yake)." Pale bungeni wapayukaji ni wengi, lakini zinapotokea 'sensitive issues' kwa maslahi ya taifa katikati ya hao wapayukaji kuna watu maalum huandaliwa kuongea facts kwa data. Hao waandaaji ndio hutoa data...
  17. Superbug

    Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  18. U

    Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

    Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi. Jana Tarehe 11.02.23...
  19. F

    Je, kuna mtu ameshawai kusikia kelele za panya anatembea juu ya gypsum board?

    Habari wadau, Kuna hoja nimeisikia kwamba panya yeyote hawezi kutembea wala kukimbia juu ya gypsum board. Anateleza. Je, mtoa hoja anasema ukweli ama anadangaya? Kwa watu mnaoishi kwenye mazingira yenye gypsum board Je, mmewahi kusikia panya juu ya hizo board anakimbia ama anatembea kama...
  20. Faana

    Panya asiyezeeka anayetajwa kuwa suluhisho la saratani

    https://www.bbc.com/swahili/articles/cqv30pwjxzdo?at_link_origin=BBC_Swahili&at_campaign=Social_Flow&at_link_id=77AABDD8-93E7-11ED-9929-40A396E8478F&at_format=link&at_campaign_type=owned&at_bbc_team=editorial&at_medium=social&at_link_type=web_link&at_ptr_name=facebook_page&fbclid=IwAR1qS95Y5jIVv2...
Back
Top Bottom