mama yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Asante Mama yangu.

    Leo ni Mothers Day.Nakushukuru sana mama yangu,japo haupo duniani,sitakusahau kwa mema yako.Japo hukusoma japo darasa moja,kila nilipotoka shule ulikuwa ukichukua madaftari yangu kukagua tiki na kosa,na ulikuwa anahesabu tiki ni ngapi na kosa ngapi,na baba aliporudi jioni ulimwambia kama...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mama yangu yupo jela hong kong_Queen Darleen

    Dada yake Diamond, Queen Darleen amesema mama yake mzazi yupo jela Hong Kong, na mara ya mwisho wameonana miaka 10 dah
  3. True Man11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

    Wakuu mpo salama humu?? Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na...
  4. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mama yangu akisali kwa moyo na imani miaka 15+ ila bado anapitia mateso ya baba. Anaumwa pia, ila baba ndio bado ana enjoy maisha

    Nakaa najiuliza ni maombi gani hayo ambayo hayajibiwi? Ni kiasi gani anaeombwa anataka aombwe? Kama anaeombwa ana nia ya kutoa msaada na mwenye huruma kama inavyoandikwa Kwanini akae kimya hadi mama wa watu akate tamaa alafu amuhukumu kwa zambi ya kukata tamaa kirahi rahisi? Namuonea huruma...
  5. Mlume Ndago

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  6. Chamoto

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: CCM Wanamuona Wasira kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka

    Ustaadhi kagongelea hapo kwamba CCM ya wanamuona Wasira ndio damu yao inayochemka. Wanamuona kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka. Hawezi kwenda na kasi ya kizazi cha sasa. Ndio maana kila akisimama jukwaani, anaongea Pumba. Mzee anajua neno moja tu...
  7. Nusratt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka Marehemu Mama na Pacha wangu Japo sikuwahi kuwaona kwa Sura

    Muda huu nimejikuta ghafla namkumbuka marehemu mama yangu, Mama mapacha Nusratt na Nasra. Tulizaliwa mapacha na mimi nikiwa Dotto. Kwa bahati mbaya nasikia mama alipata ajali akiwa na Kulwa (Nasra) wakati wakitoka hospitali ambako Kulwa alikuwa anaugua mafua na homa. Mama na pacha wangu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga

    Rapa Chid Benz ameongea kwa hisia sana kuhusu familia yake, akisema, "Nilikuwa nawaza siku ifike mama yangu aone situmii tena unga" na aliposaidiwa aliona kama ametua mzigo mzito.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mama yangu, why waste time and Money? Unashindana na nani?

    Just for curiosity! Kwa status yako kusikia kuwa unashindana na DP, Chaumma, TLP and the like ni kujishushia hadhi! Ilinganishe na Albert Einstein kushindana na mtoto wa form six katika kuifafanua E=MC2
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

    Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa...
  11. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu amenipeleka kwa mganga

    Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  13. Marry Diana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asante sana mama yangu leo nimekukumbuka sana

    Nakumbuka mwakajuzi nilitoka na kwenda karume kutafuta nguo za mtumba hasa zile zinazobana kama taiti pamoja na vijisketi vifupi. Hii ilikuwa ni miezi kama mitano baada ya mimi kuachwa na mume wangu akiwa amechukia baada ya mtoto wetu wa Kwanza kufariki siku tatu tu tangu azaliw.mume wangu...
  14. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi juu ya mashetani aliokuwa akipandisha mama yangu mzazi

    Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze...
  15. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mikasa aliyopata rafiki ya mama yangu

    SEHEMU YA KWANZA: URAFIKI WA DHATI. Ni kwenye ile wilaya niliyoiongelea kwenye ile stori yangu ya jinsi nilivyokutana na singo maza wa kiarabu. Ni miaka mingi imepita, wakati huo nilikuwa kidato cha kwanza. Marehemu mama yangu alikuwa na rafiki yake, mama mmoja ambae alikuwa mpambanaji sana...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  18. Fallback

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Mama Yangu popote alipo

    Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu. Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mama yangu kaniumiza sikutegemea

    Tafsiri ya kitaalamu inaelezea malezi kuwa ni mchakato wa maandalizi ya mtoto utakaomwezesha kukua, kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiutamaduni kwa kumlinda, kumjamiisha na kumpatia mahitaji na huduma za msingi. Iwapo malezi ni mchakato wa maandalizi ya mtoto basi shurti...
  20. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
Back
Top Bottom