china na afrika

Vaccination policy is the health policy a government adopts in relation to vaccination. Vaccination policies have been developed over the approximately two centuries since the invention of vaccination with the purpose of eradicating disease from, or creating a herd immunity for, the population the government aims to protect. Vaccination advisory committees within each country are usually responsible for providing information to governments that is used to make evidence-based decisions regarding vaccine and immunization policy.
Vaccinations are voluntary in some countries and mandatory in others, with mandatory vaccination policies sometimes leading to opposition. Some governments pay for all or part of the costs of vaccinations in a national vaccination schedule. Cost-benefit analyses of vaccinations have shown that there is an economic incentive to implement vaccination policies as vaccinations can save a significant number of lives and costs.
Generally, vaccine supply is highly regulated by local government. Also, because of the large cost of developing a vaccine, the prices of vaccines are mostly high. Therefore, vaccine policy is effected by regulations and competition.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kivitendo kati ya China na Afrika unalenga kutokomeza uhaba wa chakula barani Afrika

    Katika kipindi cha kati ya mwaka 1959 hadi 1961 China ilikumbwa na tatizo kubwa la uhaba wa chakula, tatizo ambalo lilisababisha madhara makubwa ya kiuchumi na kijamii na hata vifo kwa watu wengi. Tatizo la uhaba wa chakula nchini China lilitokana na ukame na hali mbaya ya kijiografia, na hata...
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 ya Reli ya TAZARA: Safari ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Huu ni mwaka wa 50 tangu kuzinduliwa rasimi wa Reli ya TAZARA. Reli hiyo inayopita Bonde la Ufa la Afrika Mashariki ni ushuhuda wa urafiki kati ya China na Afrika. Nusu karne iliyopita, wahandisi na mafundi wa China walifanya kazi bega kwa bega na ndugu zao wa Afrika, kukamilisha mradi wa TAZARA...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili: Kiswahili chajenga daraja la mawasiliano baina ya China na Afrika

    Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Miaka 70 katika Jumba la Makumbusho: Mazungumzo ya Ustaarabu kati ya China na Afrika Hayajawahi Kukoma

    Leo tarehe 18 Mei ni Siku ya Kimataifa ya Jumba la Makumbusho. Mwaka 2026 ni mwaka maalum – unaoashiria miaka 70 tangu China na Afrika zianzishe uhusiano ya kidiplomasia, pia ni “Mwaka wa Mawasiliano ya Kitamaduni kati ya China na Afrika.” Vile vinavyohifadhiliwa kwenye majumba ya makumbusho...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika labadilisha mwelekeo wa bara la Afrika

    Jarida la The Economist toleo la Mei 13, 2000, lilichapisha makala inayochora picha mbaya ya bara la Afrika, kuwa ni bara lisilo na matumaini, likiorodhesha mambo mbalimbali kama vile kukosekana kwa usalama, magonjwa, hali mbaya ya miundombinu na hata uchumi dhaifu. Ni mwaka huo huo, wakati nchi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika wadumisha msingi imara na kufanya uvumbuzi miaka 70 iliyopita

    Mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 70 tangu China na Afrika kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia, na pia umetangazwa kuwa “Mwaka wa Mawasiliano ya Watu kati ya China na Afrika”. Kwa kuangalia historia ya miaka 70 iliyopita, mafanikio ya uhusiano wa China na Afrika yanatokana na mchanganyiko wa...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania China yafuta kodi zote kwa bidhaa ziingiazo kutoka Africa kasoro kwa nchi ya Eswatini

    China imetangaza kuwa itaondoa ushuru wote kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 53 za Afrika ambazo ina mahusiano ya kidiplomasia nazo, ikiruhusu bidhaa hizo kuingia China bila ushuru wa uagizaji, na sera hii itaanza kutumika Mei 2026. Eswatini haipo kwenye mpango huu kwa vile ina uhusiano na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Namna mwaka 2026 utakavyoimarisha uhusiano wa kielimu kati ya China na Afrika

    Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni. Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika kuhimiza ujenzi wa Jumuiya yenye Hatma ya Pamoja

    Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban shughuli 600 za mawasiliano kati ya China na Afrika zitafanyika, na kuleta uhai na nguvu zaidi kwa ujenzi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa China na Afrika waweka mfano mpya wa ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia. Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Wenzi wa Ushirikiano wa Kimkakati kati ya China na Afrika wajenga mustakabali wa pamoja wa watu bilioni 2.8

    Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu umegeuka kuwa reli, umeme, mawasiliano ya simu na vifaa vya afya barani Afrika—ukithibitisha...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Andrea Kifyasi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam asema, ushirikiano kati ya China na Afrika kupita BRI unachochea maendeleo ya Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali za Afrika umezidi kuwa wa kina, maeneo ya ushirikiano yamepanuliwa kutoka siasa kama ilivyokuwa kwenye miaka ya 70, na kugusa karibu sekta zote kwa sasa, hali ambayo imekuwa na msukumo wa maendeleo ya nchi za Afrika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka vibanda hadi viwanda, maonyesho ya CIIE yamekuwa "chachu" ya ushirikiano wa China na Afrika

    Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zaimarisha ushirikiano wa kunufaishana wa kibiashara

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan trilioni 29.57, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Mauzo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ya biashara kati ya China na Afrika (caete)

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATI YA CHINA NA AFRIKA (CAETE) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameungana na Mawaziri wa Mambo ya Nje na Waratibu wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Jukwaa la...
Back
Top Bottom