mpango

  1. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

    Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Trump kuwa Rais kwa awamu ya tatu wazidi kusukwa na MAGA

    Mmojawapo wa wanamkakati wakubwa na wa kwanza wa MAGA , Steve Bananon ambaye pia amewahi kuwa mshauri na katibu mkuu kiongozi katika utawala wa Trump anasema kwa namna yoyote ile Trump lazima awe Rais katika kipinde kingine cha tatu kuanzia 2028. Steve Banon ansema kuna njia na fursa nyingi za...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Musk amtolea povu waziri wa uchukuzi US kufuatia mpango wa serikali ya Trump kui-DOGE na kuindoa NASA kuwa shirika huru

    Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na ilivyo sasa kama shirika huru linalojitegemea. Waziri huyo wa uchukuzi amesema pia SpaceX inafanya kazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania "Mafwele" ni mpango wa Mungu

    Inawezekana haya yanayoendelea huku Mafwele akiwa mtuhumiwa maarufu ni mpango wa Mungu. Mimi kama mkristo msoma biblia mzuri nimeona labda haya yote yanayotokea ni mpango wa Mungu na huyu Mafwele anatumika tu kutekeleza hiyo mipango. Mafwele ni mtu wa serikali na kama tunavyosoma kwenye biblia...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga nawaomba msitishe mara Moja mpango wa kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar

    Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz Mimi ni foundation ya coaching, sisi makocha tunajua ugumu wa coach wa national team kufanya kazi katika vilabu Pili, Ogopa sana...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Raisi mstaafu Kikwete, Mpango na Rostam kwenye msiba wa Raila Odinga

    Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba...
  7. Septemba 6AM

    JamiiForums Tanzania Mpango wa maandamano umekamilika. Tutatoa ratiba kamili tarehe 26

    Wanaukombozi Aluta..... Kumekaribia kukucha. Tayari tumeseti mitambo sawa. Hii ni rasharasha kuelekea kulikomboa taifa. Tunauungwaji mkono kutoka watu wote muhimu wa kimkakati. Tutawashangaza! Tumewazidi maeneo muhimu ya kiintelijensia. Hawajui hatua zetu muhimu zaidi ya zile foolsstep...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango ikiwapendeza mjiuzulu haraka

    Ushauri wangu. Hizi nafasi zenu zinaisha ndani ya wiki chache zijazo, mbele ni Giza... Achieni hizo nafasi kama kweli mlikuwa na heshima na Magufuli
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas imejibu mpango Trump kumaliza vita Gaza, na kukubaliana sehemu kadhaa ikisema baadhi ya vipengele vinahitaji mazungumzo zaidi.

    Wanaukumbi. Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani. Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hamas Waridhia Mpango wa Trump wa Kukomesha Vita Gaza

    Hamas wametoa jibu kwa mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Hamas wamesema kuwa kimsingi wanakubaliana na mpango huo, wanachohitaji ni kujadili undani wa utekelezaji. Mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, unawataka Hamas kuwaachilia mateka wote ndani ya masaa 72 tangu wakubali, Israel...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Ukiamka mgonjwa oktoba 29 mtaarifu mjumbe ufanyiwe mpango ukapige kura

    Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu. Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika...
  12. H

    JamiiForums Tanzania India yaukubali mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Yataka Mataifa yote yaunge mkono

    Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote...
  13. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuolewa/kuoa mtu ambaye siyo wa kabila lako, jifunze lugha ya kabila yake lkn usimwambie kuwa unaifahamu

    Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba. Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba wako na ndugu zake ghala utaona lugha inabadilishwa. Nitoe mifano mitatu tu:- 1. Kwa wachumba...
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

    Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako. Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini?? Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
  16. fexcash

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpango mkakati maalumu siku ya Oktoba 29, 2025

    Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents. Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Achana na mpango huo Mara moja

    Natoa onyo tu ! Utaaibika sana nakusihi achana na plan hiyo Britanicca
  18. Vamigo

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kurudi darasani nikiwa na umri wa miaka 27 sasa

    Bila kupoteza muda mm ni kijana mwenye umri tajwa hapo juu mwenye mke na mtoto mmoja, nawaza kuamua kutatua mgongano WA ki fikra juu yangu binafsi Kwa kuamua Moja, kurudi darasani. Nilipata four ya 27 mwaka 2015, Sasa nataka nikaitafute elimu ya juu zaid kwakutudia mtihani na kuendelea mbele...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Shule ya Msingi na Secondari

    Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya: 1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili. 2. Kuvutia wawekezaji na...
Back
Top Bottom