Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Habari wanaJF,
Salam nyingi kutoka Morogoro Tanzania. Nimemaliza siku salama, na natumaini mambo yenu yanaenda
Nina series of softwares nlizotengeneza kwa ajili ya kurahisisha kazi kwq wateja wangu na wateja wao.
Hizi ni pamoja na
1. Mfumo wa supplies. Kuna jamaa mmoja mwenye butcher...
Hii ni siri ambayo nitaitunza hadi kufa kwangu.
Tulipomaliza shule ya sekondari, tulikua hatuna cha kufanya hivyo tulikuwepo tu nyumbani. Tulikua na mazoea ya Kukiss lakini hatukuwahi kufanya mapenzi hadi pale tulipoanza chuo. Hatukufanikiwa kupata Hosteli ndani ya Chuo, kutokana na hali ya...
https://youtu.be/CVXxtVyvVPM?si=rF3f154L9fP4pv3c
Baada ya kuangalia kipindi cha Kenneth Kaunda nikaona niweke makala yake niliyoandika mwaka wa 2021 alipotimiza miaka 97.
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953
Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97.
Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda...
Kwa Maoni yangu,Sababu zitazoifanya Simba imfunge Stellenbosch jumapili huko Zanzibar ni hizi hapa.
Kwa miaka mingi Simba imekua ikiishia robo fainali kimataifa sio Kwa sababu ya kua uwezo wao uliishia pale,hapana,Bali Simba walionekana kuridhika na hatua ya robo fainali na kutokua na...
Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio
Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
Kwa haraka haraka
01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka
02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri)
03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar..
Nipo njia panda...
Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer…
Majibu ya ChatGPT ni haya..
[Why are older people jealous of sucessful young people?]
===============
Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako.
Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha maskini na malofa wanaomba omba pale kariakoo, yatima wanateseka, vijana wenye kiu ya elimu wanakosa ada...
Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
MY LAST RIDE; SAFARI YANGU YA MWISHO.
Mtunzi; Robert Heriel
+255693322300
Episode 01.
Sikumaanisha kuua! Wala sikuwahi kuwaza kuwa kuna siku nitakuja kuua mtu. Kwa kweli ningefanya dhambi zote, zote! Lakini sio dhambi ya kumwaga damu ya Mtu. Haya sasa nini...
Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document)
Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿
Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo
Katika...
Hello bosses and roses...
Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa.
Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project.
Hivo natafuta...
Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March
Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny.
Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend.
Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio...
Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.