matumizi ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Je Misafara ya Viongozi inazingatia matumizi ya fedha za walipa kodi?

    Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Serikali ili kupunguza matumizi ya fedha taslimu katika mwaka 2026/27

    Ili kupunguza matumizi ya fedha taslimu katika mwaka 2026/27 inapendekezwa kufanya maboresho yafuatayo: Kuweka sharti la baadhi ya malipo ya huduma na biashara kufanyika kwa njia za kidijitali kama ilivyoainishwa katika Aya Na. 61; Kusitisha usambazaji na matumizi ya vocha za kukwangua za muda...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya serikali ya kupunguza matumizi ya fedha taslimu

    Serikali imependekeza mikakati mipya ya kupunguza matumizi ya fedha taslimu na kukuza uchumi wa kidijitali kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Hatua hiyo inajumuisha kuweka sharti la lazima kwa baadhi ya huduma kulipwa kidijitali, pamoja na kusitisha kabisa usambazaji na matumizi ya vocha za kukwangua...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mimi naamini maneno ya Kitila matumizi ya fedha za dhahabu, kuliko ya hao wengine, Je, wewe?

    Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi, scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana. Huwezi kuja na maelezo kwamba ulijiwekea lengo na kinachozidi unaamua kukiuza kwa nini???? Kwa hiyo Bwana Gavana unatuambia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Unaridhishwa na taarifa ya mapato na matumizi ya fedha Serikali ya Mtaani kwako?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa wazi katika vikao pamoja na kubandika kwenye mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kila mwaka wa fedha unapoisha. Lakini je, wananchi wanashiriki kikamilifu katika kusimamia uwazi huu? Je, umewahi...
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Matumizi ya fedha taslimu yanasababisha mfumko wa bei

    Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko wa bei. Utafiti huo uliofanywa na Francis Nyonzo, Mchumi ambaye pia alikuwa mshiriki wa moja ya...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

    KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU? Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo. Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
  11. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Kanuni zinazokataza Matumizi ya Fedha za Kigeni kulipia bidhaa au huduma nchini

    Kufuatia kuongezeka kwa miamala ya fedha za kigeni katika manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali nchini, Wizara ya Fedha kupitia Sheria ya Benki Kuu, Sura ya 197 imetangaza Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025. Kanuni hizi zimeanza kutumika rasmi Machi 28, 2025. Kanuni namba 2...
  12. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isipunguze Matumizi ya Fedha za Kigeni ?

    Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu: Matumizi ya fedha za Umma

    After a long time of usage and public checkability! I have noted that: 1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025. Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
  14. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna Sheria inayoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi?

    Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness...
  15. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 TAKUKURU inawezaje kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo ili kuzuia ubadhirifu na udanganyifu?

    Utangulizi Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2024/25

    TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2023/24 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/25 Upandishaji Vyeo Mheshimiwa Spika, kuanzia Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Wizara imewapandisha vyeo jumla ya watumishi 9,397 katika ngazi mbalimbali za uongozi. Hali hiyo...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mama Samia kuhusu matumizi ya fedha za DP World!

    Utangulizi: Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii. Kwakuwa Mwenyezi...
  18. OLS

    JamiiForums Tanzania Hati za Ukaguzi: Uwazi na Uwajibikaji katika Matumizi ya Fedha za Umma

    Kila mwaka, tunashuhudia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa Hati za Ukaguzi kuhusu utayarishaji wa hesabu za taasisi za umma. Hati hizi ni muhimu sana katika kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma. Hati ya Kwanza ni ile inayoitwa "Hati...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?

    Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Afya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Afya kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24
Back
Top Bottom