Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025.
Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021
Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana futureless wa CCM wamekuwa na majibu ya jumla jumla miaka yote kwa kupamba awamu husika kuwa deni la...
Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo.
Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya...
Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi.
Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya.
Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg Mkoani Kagera ambapo Wizara imeeleza mwenendo wa...
Husika na kichwa habari hapo juu;
Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake.
Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ.
Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF.
Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote...
Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo TB limeleta taharuki hasa kwa wagonjwa wanaohudumiwa na mradi huu...
Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi.
Jambo la ajabu ni kwamba:-
1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za onyo zinaonekana zimeandikwa na kusainiwa na mkurugenzi tangu mwezi December mwaka jana.
2. Barua...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25 Januari 2025, katika Viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma.
Maadhimisho haya yanayoandaliwa kila...
Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri.
Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani.
Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM
ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024.
Katika kikao hicho...
Kuna tuhuma kwamba wachezaji wa mpira wa miguu wa Singida Big Stars wamepewa uraia wa Tanzania kukwepa wasilipe vibali vya kufanya kazi Nchini. Naamini hii ni skendo kubwa na Mamlaka ya NIDA au Uhamiaji zinapaswa kujibu la sivyo taarifa hizi zinaleta uchonganishi kwa serikali.
Sheria ya Uraia...
Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba.
Kwa miaka yote...
Habari wana JF.
Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana.
Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo.
Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.