Nguzo za madaraja ya baharini hujengwa kwa teknolojia maalumu ili ziweze kustahimili maji, mawimbi, mikondo ya bahari, na uzito wa daraja.
Kwa ujumla, hatua zake ni hizi:
Uchunguzi wa eneo
Wahandisi hupima kina cha bahari.
Huchunguza aina ya udongo au mwamba ulioko chini ya maji.
Hupima nguvu...
Mvua kubwa zimeendelea kupiga Mombasa for the last three days, zikisababisha mafuriko makubwa across all six sub-counties including Changamwe, Jomvu, Kisauni, Likoni, Mvita na Nyali. Situation imekuwa mbaya kiasi kwamba takriban watu 390 wamelazimika kuhama makazi yao, especially maeneo ya Jomvu...
Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya kidiplomasia na Eritrea, ambayo ni nchi muhimu ya njia za meli za Bahari Nyekundu.
Kabla ya hapo...
Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa kitaifa(state sanctioned piracy).
Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais.
Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
Kuna watu wanawawaonea Warangi, Wanyanturu, Wanyiramba eti ni maharage ya Mbeya. Ushakutana na Wakenya wa Nairobi wewe?
Ukimuomba Mkenya kududuana akakataa au akakuzungusha zaidi ya siku tatu, nenda kaoge maji ya baharini uondoe mikosi🤣🤣
Yaani Wakenya unajigeuzia kama chapati.. Hahitaji nauli...
Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni.
Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko?
Nauliza hivo maana sijawahi panda...
Kuna mambo makuu matatu baharini
1. Ikutapike
2. Ikumeze
3. Ikuzike
Bahari haifugi uchafu ndio maana always maji yake ni safi kutokana na utaratibu iliyojiwekea ya kujitibu
Ukikikuta pwani ujue kimetapikwa
Ukikikuta kwenye tumbo la mnyama bahari jua kimemezwa
Ukikikuta chini ya uso wa bahari jua...
iwe funzo kwa watu kuwa na utu na moyo wa shukrani na pia kwa wengine iwe funzo la kuto kujitoa sana kwa watu Waka acha mambo yao
Kila mtu anapitia high na lows.
Hakuna mtu anapitia highs peke ake., hivyo kila mwanadamu huwa anakuwa na dharura kwa wakati flani maishani na atahitaji tu msaada...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
Kuna samaki anapatikana amazoni kwa jina Arapaima (pia anajulikana kama Pirarucu au Paiche). Huyu ni mmoja wa samaki wakubwa kabisa wa maji baridi duniani na hupatikana kwenye Mto Amazon.
Magamba yake ni magumu sana na yanakinga hata meno ya wanyama wakali kama mamba na piranha.
Ili kuondoa...
KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA
Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
1. Sea salt inakuwa imetokana na kuvukisha maji ya bahari wakati ile ya mawe inachimbwa kutoka miamba inayodhaniwa kuwa ilitokea baada ya habari au maziwa ya zamani kukauka
2. Chumvi ya bahari huwa inakuwa na rangi nyeupe au off-white wakati zile za miamba kama Himalayan salt zinakuwa na rangi...
Eti wakuu, kwa mfano nguzo ya umeme ikianguka (mfano Kigamboni) na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Hadi Zanzibar au mpaka Ulaya??
Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
Mojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari karibu na Japani. Iliwachukua muongo mmoja kujua kwanini ilitokea na kwanini ilitokea ghafla na kutoweka...
Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea.
Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge...
Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
Kuzaliwa baharini ni tukio la nadra linalochochea maswali ya kisheria na kijamii kuhusu utambulisho wa uraia.
Je, mtu anayeona mwanga wake wa kwanza akiwa majini, anahesabika kama raia wa nchi gani? Swali hili linaibua changamoto za kipekee, huku majibu yake yakitegemea vigezo mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.