kimara mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Kero ya maji Kimara Mwisho

    Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover. atizo hili ni la muda mrefu sana toka January hadi sasa, maji tunapewa mara moja kwa wiki yaani Jumatatu tuu. Hapa toka wiki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara ilivyo Kimara Mwisho, leo Aprili 13, 2026

    Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROADS mna mipango gani juu ya barabara mliyoichimba kutoka Kimara mwisho kuelekea Kinyerezi? Imepita mwaka mmoja hakuna mkandarasi yeyote

    Habari zenu wakuu. Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali. Majumba yaliyozidi katika hifadhi ya barabara yalivunjwa na makatapila yalikuwa kazini kuchimba...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania UDART yatoa ufafanuzi kuhusu abiria kuzuia basi kituo cha Kimara Mwisho

    Kampuni ya Mabasi yaendayo haraka UDART inapenda kutoa ufafanuzi juu ya tukio lililochapishwa katika mitandao ya kijamii ya Global na Manara Tv, taarifa ilichapishwa ikionyesha baadhi ya abiria katika kituo cha Kimara Mwisho wakizuia moja ya Basi la Kampuni ya Mabasi yaendayo haraka. Leo...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

    Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama. Baada ya kusubiri kituoni kwa saa...
  8. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

    Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

    Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee? Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, kuna shida gani ujenzi wa barabara ya Mwendokasi kutokea Kimara Mwisho hadi Kibaha?

    Ndugu Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa pamoja na watendaji wote wa TANROAD Mkoa wa DSM. Wananchi wanataka kujua kuna tatizo gani au kitu gani kimekwamisha kukamilika na kuanza kutumika barabara ya mwendo Kasi kuanzia kimara mwisho hadi mpakani kibaha? Barabara ya mwendo Kasi kuanzia eneo hilo...
Back
Top Bottom