A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
Kwa mwanamke kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa mwanaume tajiri/ kigogo/ mwenye uwezo wa kuhudumia mtoto wake mahitaji yote kuanzia bima ya afya ya maana hadi shule za level ya Feza au ndoa ya kudumu na mwanaume wa kawaida, masikini, kapuku, mbangaizaji ambaye watoto watasoma St Kayumba...
Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa...
Unatoka kwenye ndoa kwa mbwembwe kwamba unakwenda "kutafuta maisha", halafu mala pap! Ex-mume wako anakukuta mtaani umejitwisha deli la matikiti unatembeza, unakula jua lako na mvua yako. Raha zote za nyumbani ukazikimbia ukachagua pambano la matikiti barabarani!
Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie .
Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa.
Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi...
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
Binafsi, siwezi
Sababu ni moja tu.
Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana.
Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo...
Staa wa filamu na mrembo maarufu Tanzania, Wema Sepetu, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe mzito kwenye akaunti yake ya Snapchat ambao umeonekana kama kutangaza rasmi kwamba kwa sasa anaendelea na maisha kama single mother.
Kupitia Snapchat yake, Wema ameandika:
“Being a single...
1.Wapare hawa ni watu hawataki upende familia yako au uwe karibu nayo wanataka wewe uwe naye na familia yake tu .
Wapo tayari wateke akili yako ili usiwe na akili ya kusaidia familia yako. Ni yao tu.
Pia ni wachawi sana sana hawana mfano.
2.Wachaga ni washirikina wanajua kukufanya usiwe na...
Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano
1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
Veteran journalist Solomon Serwanjja has been elected LC1 chairperson of Bamutakudde Village in Mukono District after a tightly contested race decided by just one vote.
Running as an independent candidate, Serwanjja secured 106 votes, narrowly defeating Lule Badru Ssozi Kirwana of the National...
wakuu kwema ?
Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu
Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer
Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli.
Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya.
Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .
Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?!
Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.