tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya "kupagana shoti" isipo tupiwa macho ni hatari sana

    Nimepata msamiati mpya kutoka kwa Mbuge Msukuma alipo kuwa anamuelezea Maku wa Rais Mhe. Deo Ndejembi alimuasa Makamu Mpya kuwa asiwe na tabia ya " kupiga shoti wenzake". Bilashaka neno hilo lina maana ya viongozi walipewa mamlaka wasiwe na tabia ya kuwafitini na kupiga majungu walio chini yao...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukomavu wa Uongozi: Tabia au Cheo?

    ✍️Kuna jambo moja ambalo vijana tunapaswa kujifunza kwa umakini sana katika safari ya uongozi si kila mtu anayetamani kuwa mkubwa ana uwezo wa kubeba ukubwa huo. Kuwa na ndoto kubwa ni jambo jema kuwa ambitious ni jambo jema kutaka kufika mbali ni jambo jema lakini tatizo huanza pale...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ulipokwenda ugenini, tabia gani za watoto zilikushangaza?

    Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...
  4. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Utamaduni Wetu Unavyotufunga Kisiasa

    Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula. Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
  5. Pumpkin girl

    JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Baada ya kumaliza chuo tu. 01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar. Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya hovyo na kindezi: huendi kwenye misiba! Mbona huulizi kwenda kuona wagonjwa au wenye matatizo? Tabia za kichawi hizi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini. Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu. Subiri ukifiwa ndio...
  8. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Tabia ndogo mabadiliko makubwa

    tabia ndogo, mabadiliko makubwa Beti ya Kwanza Tabia ndogo huanza kimya, lakini hujenga maisha kwa nguvu, Nguvu ya kurudia hujenga misuli, na misuli ya akili hujenga uthabiti, Uthabiti hauzaliwi kwa siku moja, hujengwa kwa hatua ndogo za kila siku, Siku moja inaweza kuonekana ndogo, lakini...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

    Member, Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,, Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo halipo, niliweka juu kwenye zile kelia za mabegi ndani ya treni hata kwenye mabasi zipo,, Nikapekua...
  10. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa lakini vituko vya mke vikakufanya uingie kwenye tabia hatarishi

    Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume. Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka...
  11. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tabia za ajuza

    Tabia za Ajuza sometimes 1)kupoteza kumbukumbu 2)Kutofanya kazi kwa ufanisi 3) kutokufuatilia mambo ya msingi,kutegemea watu wengine. 4)kukosa nguvu na Madini kupungua 5)Kukosa Mvuto. Ccm mna miaka mingi huenda umri unafanya mambo kuyumba ni HEKIMA MJITAFAKARI KUJI UPDATE ,KUJIDANLOAD UPYA.
  13. Bishop Mafie

    JamiiForums Tanzania Umahiri si tukio—ni tabia ya kila siku

    UMAHIRI SI TUKIO—NI TABIA YA KILA SIKU Viongozi mahiri hawasubiri kuambiwa cha kufanya. Hutambua yanayopaswa kufanyika mapema, huendelea kujiboresha, hukubali maoni kwa unyenyekevu, huwajibika kwa matendo yao, na hudumisha viwango vya juu hata pale ambapo hakuna anayewaona. Umahiri hujengwa...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la Maajabu Ya Dunia , Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa. Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hivi uongo ni ugonjwa au tabia tu mbaya ?

    Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu . Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ? Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na wakati mwingine kutaka kujilinda, au kutafuta faida hasa kwenye ishu za pesa, na wakati mwingine mtu...
  17. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mtu mwenye tabia za Wizi Wizi?

    Wakuu, Kuna mtu tunaishi ila ana tabia za wizi wizi. Yaani kiufupi huyu mtu yeye bila kuiba asubuhi, mchana au usiku hajisikii kabisa furaha. Yeye kitu pekee kinachompa furaha ni kuiba na kuona kuna mtu anatafuta kitu alichoibiwa ndio anakua na furaha na yeye yupo hapo hapo. Sasa mtu km...
  18. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ambazo ni za kushangaza ambazo mpenzi wako alikuwa akifanya wakati wa tendo?

  19. wakunyonya

    JamiiForums Tanzania ONYESHA VIDOLE VYA MKONO WAKO WA KULIA NIKWAMBIE TABIA ZAKO.

  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
Back
Top Bottom