wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
 1. Jabali la Siasa

  PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

  RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
 2. SemperFI

  Dar, Mwanza, Kilimanjaro na Unguja Kusini yaongoza kwa wanawake wenye vitambi

  Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
 3. Sildenafil Citrate

  UTI sugu kwa wanawake

  UTI ni ufupisho wa maneno Urinary Tract Infection, au kwa kiswahili ikiwa ni maambukizi ya mfumo wa mkojo ambao huhusisha figo, kibofu cha mkojo, mrija wa mkojo pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo. Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na bakteria jamii ya E...
 4. To yeye

  Wanawake ‘hit and run’

  Inatokeaga hii automatically. Siyo kwamba ulipanga noo, ila ndo inatokea Mdada nawe umekuwa hitter & runner 😜 Mnapanga fresh kumeet na jamaa mkakojoleana but cha ajabu unafika kule match hujaielewa, ndo hivyo ukiondoka unakuwa umeondoka na blocks kwa sana au kalenda zinaanza, kumbe hujaelewa...
 5. Raia Fulani

  Wanawake kateni vitambi

  Ukweli ndiyo huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali.
 6. K

  Nikiwa nafanya na wanawake wengine namuwaza demu wangu tuliezinguana.

  Inashangaza mpaka kumaliza navuta hisia niko naye Nikiwa napiga stori namuwaza yeye tu Hii ni shiga gani hiii?
 7. Mr Gadaffi

  Swali kwa Mliooa wanawake wenye watoto

  Ndg zangu ambao hatujuani mliomo humu, na wanachama wengne wote, hope mko vizuri. bila mambo mengi naomba nifanye kilichonileta hapa: je siku watoto wa mkeo wakianza kukudhihaki na kukudharau kwa namna yoyote, utachukua hatua gani? na kama hali hiyo iliwahi kukutokea ulijisikiaje, na ulifanya...
 8. Nazjaz

  Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

  Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu. Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia. Mwanamke akiamua kuuza "Papa"...
 9. SemperFI

  Ripoti UN: Wanawake 17,200 wameuawa na wapenzi na ndugu zao mwaka 2021 Afrika

  Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote. Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
 10. Chura

  Wanawake wa kizazi hiki mbona hawana hofu ya Mungu jamani?

  Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu 2019 mpaka jana tulipoweka nukta. Kilichonichosha mpaka nikaandika uzi huu ni kuwa, jana aliniomba...
 11. UMUGHAKA

  Baadhi ya Wanawake jaribuni kubadilika

  Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwanza kabisa nipende kuchukua nafasi hii kusema ya kwamba ujumbe huu si kwa wanawake wote bali ni baadhi ya wanawake tu. Kumekuwa na wimbi kubwa la baadhi ya wanawake kuwa wachafu kupitiliza,leo sitazungumzia sana masuala ya mawigi na nywele hizo za...
 12. RReigns

  Wanawake mna moyo sana, mnawezaje?

  Unakutana na mtu, wewe tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda. Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala naye na kuamka naye. Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea...
 13. ROBERT HERIEL

  Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

  KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
 14. technically

  Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

  Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
 15. Mawawa

  Hivi wanawake wanatuzidigi wapi wanaume akili?

  Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume? Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa. Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye miaka kumi na nane tu anatulia tuli ubabe wote kwisha. Huwa nabaki najiuliza hivi sisi wanaume...
 16. Memtata

  Kwanini wanawake hamna huruma?

  Ulishawahi kutoka na mwanamke wa mjini sister du fulani out? Akiletewa menu anaagiza nusu kuku na chips alafu anakula kiupaja kimoja na vichips kadhaa anajifuta na tishu kwa mikogo vingereza vingi alafu anakwambia ameshiba! 🤔 Wanaume tumeumbwa mateso hadi kwenye ndoa yanatukuta haya. Leo...
 17. Bushmamy

  Makundi ya wanawake na watoto wapiga hodi nyumba kwa nyumba kuomba unga na chakula kutokana na Uhaba wa chakula

  Baadhi ya wakazi Wilaya ya Arumeru, Arusha wameomba Serikali kuingilia kati hali ya uhaba wa chakula ambayo sio ya kawaida inayoendelea katika mkoa huo. Hali hiyo imesababisha makundi ya kina mama na watoto kutembea umbali mrefu wakitafuta chakula kwa kuombaomba maeneo tofauti, ambapo mara...
 18. Mwizukulu mgikuru

  Wanawake acheni kuwaroga waume zenu kwa tamaa ya mali

  Hii kitu imezoeleka sana kwenye familia zetu lakini watu wengi wanashindwa kuiongelea, wanawake wamekosa huruma kabisa mwisho wa siku wanauwa bila kujuwa kuwa wanauwa, kuna familia moja huko kanda ya ziwa jamaa alienda kuowa huko dodoma kondoa kwa warangi. Lakini jamaa alikuwa ameishapata...
 19. Lady Whistledown

  Rwanda: 65% ya Wanawake wanaona ni sawa kupigwa na Wanaume wao

  Waziri wa Jinsia, Jeannette Bayisenge amefichua kuwa vita dhidi ya ukatili wa kijinsia nchini humo ni kubwa Amesema utafiti wa mwaka 2020 umeonesha asilimia hiyo imetokana na wanawake kuamini kuwa kuna uhalali wa wao kupigwa kutokana na sababu mbalimbali Baadhi ya sababu hizo ni kama mwanamke...
 20. Zanzibar2014

  Hii ni kwa wanaume wanaonyanyasa wanawake

  Najua kusema ni uhuru wa kila mtu lakini wanaume wengine mmezidi kukejeli wanawake humu. Sijapata kuona kabisa hamjui kutuheshimu kabisa. Sasa kama mtu ana matwaka yake, nyinyi yanakujereni nini? Mnapenda kukosoa mno, siyo kuuliza mkajibiwa, ujuaji mwingi tu. Kama ya kwenu manayaweza. Kwani...
Top Bottom