Wakuu,
Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa kuamini atabarikiwa.
Ila Cha ajabu hao wote wawili wakikutana pamoja, Wanamcheka sana yule anaeabudu...
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho.
Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani.
Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
Kwa hakika, Tundu Lissu ana Power na ushawishi mkubwa sana. Kuchaguliwa tu, majoka yameanza kutoka mashimoni na kuanza kurandaranda mitaani.
Sipati picha Lissu atakapoanza kazi rasmi.
Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana.
Embe chini ya mnazi haitatokea Tena.
Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali.
Pang Fung Mi
Hongera Sana Yericko Nyerere.
Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo .
Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme .
Huu...
Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango.
Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi.
Ondoka kama ulivyokuja sina muda.
Ubwela...
Jiwe gani hili wakuu, nilikua natafuna karanga toka kanda yakati nikalikuta humo.
Nisije nikatupa neema Mungu amenitumia kimyakimya.
Ni rangi ya brown light ugoro kabisa,limechongeka pembetatu 🔻,gram si chini ya 25.
Wataalam njoeni hapa.
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana.
kwa mwenye akili...
Nilikuwa kwenye daladala jioni moja kutoka kwenye pirika zangu mara ndani ya gari Kuna wimbo ukawa unapigwa nakumbuka kiitikio tu " Wivu mama" ulinivutia sana ule wimbo hasa sauti ya mwimbaji na mashairi yake na ukizingatia ulikuwa ni wimbo wa singeli ikabidi niingie YouTube kutafuta ni msanii...
Ukichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini?
# Wapo watasema wanaona mti
#Wapo wataosema wanaona kuni.
#Wapo wataosema wameona Mbao.
#Wapo wataosema wameona mlingoti wa umeme
# Wapo wataosema wameona nguzo ya nyumba.
WOTE WAPO SAHIHI...
Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 25 Mei, 2024.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.