teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝗶𝗶 𝗮𝗽𝗽 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝗶𝗻𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝗸𝗶𝘁𝘂 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼

    Tunajua simu zetu zinakuja na apps ambazo haziwezi kufutika sio 😂, Sasa 2026 bhana hakuna kinachoshindikana aiseeh. Leo nakupa app inayofuta kila kitu kwenye simu yako haijalishi hiyo app imekuja na simu au umeikuta tu hata zile ambazo ume download zinakataa kufutika ila kupitia hii apps...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗰𝗹𝗼𝘂𝗱 𝘀𝘁𝗼𝗿𝗮𝗴𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗵𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝗱𝗮𝘁𝗮 𝘇𝗮𝗸𝗼 𝘇𝗶𝘀𝗶𝘄𝗲𝘇𝗲 𝗸𝘂𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio 🫢. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  3. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Teknolojia na Nafasi ya AI katika Software Development.

    Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Whatsapp kuacha kufanya kazi kwenye simu za zamani

    Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae 👋. Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani. Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Website ya BRELA ni mbovu sana na haendani na ukubwa wake wala teknolojia ya kisasa

    BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana. MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ? Vitu vimewekwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Bila teknolojia tusingesikika kokote kule

    Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari leo baada ya kuondolewa zuio la kutofanya siasa, Aprili 15, 2026 amesema kuwa Bila Teknolojia tusingesikika kokote kule, tunashukuru Teknolojia ilitufanya tuendelee kusikika maana tulikuwa tunajirekodi na kurusha mitandaoni. Nguvu ya Teknolojia ni...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Wanu Hafidh Ameir, Naibu Waziri Wa Elimu Akieleza Mikakati Ya Serikali Kuhusu Teknolojia Ya AI Katika Elimu

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu. Naibu Waziri ameeleza...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Teknolojia itakavyosaidia kuepusha kupandisha nauli kwenye usafiri wa umma pale mafuta yanapopanda

    TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA. Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa watumiaji wa usafiri wa Umma pale kunapotokea mabadiliko ya bei za mafuta Duniani. Nawaza kwa...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani waitaka IEBC iachane na teknolojia ya Smartmatic kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027

    Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Vita ya Iran-Israel-USA inatukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia

    Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Video imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili unde kurejelea tukio la kuongezeka kwa mamba baada ya mafuriko Australia

    Kumekuwepo na video kadhaa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, zikionyesha mamba wakitembea mitaani baada ya kutokea kwa mafuriko nchini Australia.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya AI katika mifumo ya ulinzi yanaweza kuongeza kwa kiwango kikubwa uwezo wa kugundua vitisho

    Jeshi Letu la JWTZ Linatumia Teknolojia ya AI Kuboresha Ufanisi Kwenye Ulinzi? Katika mifumo ya ulinzi ya jadi inayotumia rada za kawaida, changamoto kubwa imekuwa uwezo mdogo wa kuchambua taarifa kwa haraka na kwa kina. Rada za zamani zinaweza kugundua kitu angani au baharini, lakini mara...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za Uundaji wa Programu: Native vs. HTML, CSS, na JavaScript ni ipi ni rahisi na ina ubora zaidi

    Native ni nini ? "Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo. HTML, css, js ni nini ? HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya AI Inayobadilisha Maisha na Kazi Mtandaoni: Mwongozo Kamili Kuhusu ChatGPT

    Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT. Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maturity ni kuelewa kuwa kama mtu mweusi angekuwa mkuu wa maarifa na teknolojia kuliko mzungu angemtawala kwa mabavu mzungu kama alivyofanyiwa

    Ni kwa sababu hii ni dunia ya mwenye nguvu na mamlaka, kwa maana hata machifu/watemi waliokuwa na nguvu na mamlaka kuliko babu zetu ndio waliowakamata babu zetu na kuwauza kwa wazungu na waarabu kama kuku.
  17. opondo

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  18. Soul21

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuboresha mfumo wa semina kwa walimu kwa kutumia teknolojia ya mtandao (online) na video

    Ninashauri Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuachana na mfumo wa zamani wa kutoa semina kwa kukutana ana kwa ana (physical workshops), ambao unatumia gharama kubwa za usafiri, malazi, na muda, na badala yake kuhamia kwenye mfumo wa kisasa wa kidijitali. Mapungufu ya Mfumo wa Sasa: * Gharama...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

    Mwaka 2025 kulitokea vurumai nchini Israel pale kundi la wanazuoni wa Kiebrania wajulikanao kama Haredi lilipotakiwa kujiunga na jeshi la nchi hiyo kisheria. Hoja kubwa iliyojengwa na Serikali dhidi ya kundi hilo ni kwamba hakuna sababu inayozuia wao kujifunza mambo ya dini yao wakiwa kwenye...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM hamuwezi kushindana na Teknolojia

    Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho. China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie. Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila...
Back
Top Bottom