prof. adolf mkenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu. Prof...
  2. JanguKamaJangu

    Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku shule kuweka michango ya lazima ambayo inawanyima Watoto kwenda shule. Pia Soma: - Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani - Malalamiko yaendelea kuhusu malipo...
  3. cupvich

    SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
  4. Roving Journalist

    Muhtasari: Hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha Mwaka 2023/24

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF F. MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2023/24 DODOMA MEI, 2023 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa...
  5. K

    Umekosea Prof. Adolf Mkenda: Utendaji mzuri popote sio haki

    Hakuna jamii yeyote Duniani ambayo kuna usawa kwenye kila kitu. Hata hapa Marekani watoto wa George H Bush wamekuwa maarufu na kuwa Governors na mmoja Raisi kwasababu babu yao alikuwa tajiri, baba akawa tajiri akaweza kuwasomesha shule nzuri sana na kuwapa elimu bora. Hii haina maana kwamba hawa...
  6. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Tunaangalia namna mpya ya kutathimini shule bora nchini

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 1, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 2 RATIBA YA LEO Dua Hati za kuwasilisha mezani Taarifa za kamati Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira MWONGOZO Kuhusu uamzi wa NECTA kutokutangaza orodha ya Shule 10...
  7. Z

    Barua ya wazi kwa waziri MKenda; Ufadhrili wa elimu ya juu unakera wananchi

    Ni barua inayozunguka mitandaoni. Hapa JF pia tuna thrd inayokosoa utaratibu wa kuwa na Samia sholarship. Nionavyo, hii ni nyongeza ya kutorithishwa na maamuzi ya waziri/wizara.
  8. Roving Journalist

    Prof. Mkenda wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia asoma Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2022/23

    HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lakoTukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  9. Shark

    Mafuta ya kupikia yaadimika mitaani

    Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/- Aliekua Waziri wa Kilimo...
  10. John Haramba

    Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa

    Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). "Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
  11. Nyendo

    Kiwango cha ulaji wa mayai nchini kwa mtu mmoja kwa mwaka kimeshuka kutoka mayai 300 hadi mayai 106

    Kiwango cha ulaji wa mayai nchini kwa mtu mmoja kwa mwaka kimeshuka kutoka mayai 300 hadi mayai 106. Kauli hiyo imetolewa jana Oktoba 17, 2021 na Waziri wa kilimo, Profesa Adolf Mkenda wakati akifunga maadhimisho ya kilele cha siku ya chakula duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro...
  12. F

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda unaiyumbisha KNCU

    Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesababisha kuahirishwa mara mbili mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro(KNCU) kwa sababu zake binafsi mkutano uliopangwa kufanyika jana ukasogezwa mpaka leo lakini mkutano huo umefutwa tena leo na kusogezwa mpaka Jumatatu...
  13. Etwege

    Prof. Adolf Mkenda amsimamisha kazi kaimu mrajisi wa ushirika Lindi kwa kukilazimisha Chama cha Ushirika wa Mazao (AMCOS) kukodi ghala

    Waziri wa kilimo prof Adolf Mkenda amekuwa mbogo baada ya kuzungushwa na mrajisi wa ushirika mkoa wa Mtwara na kuamua asimamishwe kazi mara moja na amemtaka katibu mkuu apeleke mrajisi mwingine mkoa wa Mtwara. Pia waziri wa Mkenda amempa onyo kali mrajisi wa ushirika mkoa wa Kilimanjaro (KCU)...
Back
Top Bottom