Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu.
Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na...
Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao.
Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili.
Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana...
Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake.
Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
JICHO LA TATU _ KILA KITU UNACHO PASWA KUJUA.
👉Kwa karne nyingi watu wamekuwa wakizungumza kuhusu Jicho la Tatu. Baadhi ya watu hulitafuta jicho la tatu kama nyenzo au njia ya kuwasiliana na viumbe wa ulimwengu mwingine wasioonekana, wengine huliona jicho hilo kama chombo cha kuwasaidia...
Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi.
Kuna kitu gani kingine umeking'amuhttps://youtu.be/585IMBb14Kg?si=ZnO8wzvvxewNUGP-a?
Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious.
Ni vitimbi gani vingine hufanywa
Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero.
Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia hela, au mtu kuniuliza maswali ambayo hayana mchango wa mimi kupata hela naona kero tu.
Kuna wakati...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy.
Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines
Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo...
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.
Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
Salama wakuu?
Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na hata tukiyaona tunayafumbia macho na kuona ni kawaida.
Kuna bullying za aina tofauti kama
•...
Glasi iliyopinduliwa chini juu inanasa utupu unaoficha kile ulichopoteza nyumbani kwako
Unapojua kuwa kipo mahali fulani ndani ya nyumba lakini umetafuta kila kona na bado hakionekani, ni kwa sababu utupu wa nishati unaficha ulichopoteza. Utupu huo unaweza kunaswa chini ya glasi.
1.Chukua glasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.