Hello Guys,
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna...
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za Android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata...
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini...
Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa.
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI
Wakuu Habarini!
Nimekwama Hapa Jinsi Ya Ku Unlock Hii...
Habari wakuu,
Kutokana na jukwaa letu kuwa na mada nyingi nzuri japo nyingine za muda kidogo, mada maalum zinazoelezea matatizo ya kitu fulani lakini hazionekani kirahisi na kadhalika nimeomba...
hapa nimeweka na nitakuwa naweka kwenye uzi huu wallpapers za jamiiforums (submitted by users) ambazo mtaweza kupamba desktop za computer zenu....
pia soon zitakuja za mobile as soon as poassible...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya...
Ndugu zangu habarini za asubuhi.
Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu.
Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa...
Habari wana JamiiForums, na wadau wa humu kwenye Tech & Gadgets Forum nimeona sio mbaya leo kushare basics za Graphics Design kwa wale ambao wanafanya hii kitu tayari au wale ambao wana interest...
Aja na settings mpya WhatsApp.
======
WhatsApp imefanya mabadiliko kwenye programu yake yaliyotangazwa leo Agosti 09, 2022 ambapo sasa mtu anaweza kuondoka kwenye kundi sogozi bila wengine...
Wana tech habari ya muda huu, nataraji kuwa kila mmoja wetu ameamka salama kwa wenye changamoto ya afya mungu azidi kuwapigania.
Nisipoteze muda kwa wanao jua ni namna gani naweza kudownload...
Kuna hii app ya chapchap ya wabongo unaagiza vitu China kama redio Raba na Vinginevyo
Nilitaka kuagiza HIZI JBL Clip 4 Kwa Moja Wanauza 34000 lakini unatakiwa uchukuwa je HIZI Redio ni OG ama ni...
Habari wakuu wa Tech.
Nina PC HP Elite book 8440p. Naona imeanza kunipeleka Moto kiasi cha kushindwa kupata usingizi
Hii PC nlikua nime ichaji kama kawaida then sikuchomoa betri baada ya siku 4...
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.
Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa...
Salaam wakongwe ni laptop gani ambayo ni nzuri kwa coders na programmers na kwa bei nafuu?
Na swali lingine ni kwamba naweza pata kwa range ya ngapi
Natanguliza shukranj
Kama Title ya thread inavyosema,Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia mods mbal mbal katika game yako ya ETS 2.
Sometimes inafika stage kweny hili game unakua kama...
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji...
Wataalam kwa kusponse matangazo instagram hapo kwenye reques review jamani tusaidiane tunaandika nini ili kuchomoka kwenye guu mtego wa kufungiwa kutangazaa
siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20
Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani
Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile...
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.
Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka...
Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria...
Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa.
Nimeona nisijepigwa na kitu...
Naomba kufahamishwa unapoongea na mtu kwa njia ya simu, je! Ni wapi naweza kurekodi maneno yake wakati wa mazungumzo? Naomba kuweleweshwa makamanda wangu.
Mambo vipi!?
Ipo hivi wanaotumia Netnaija wanaelewa kuna sehemu mbili ukitaka kuchukua movie na chini yake wamekuwekea subtitle yake nayo pia udownload,
Kuna movie nimepakua ya kikorea...
Karibu.
Naitwa Musa Buzelengule . Ni Upwork Freelancer . Nina 300+ Earnings kwa Sasa .
Naomba kujua ni changamoto zipi zinafanya watu wasipate kazi ya Kwanza?