Ujana wangu upo ukingoni Sasa very soon naenda hit 40,miaka kumi na mbili iliyopita nilipanga ujana wangu ntautumia wote nikiwa bila mke ila lazima niwe na watoto , nilipanga ntatumia muda mwingi kutengeneza misingi y kiuchumi sababu Mimi ni mwalimu , bila mpango mkakati wa kutengeneza misingi...
Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita.
Mimi namuunga mkono na nitamchangia tsh 2,000,000 kwenye hiyo fine. Asiache kuyabagaza hayo machoko. Ni ya bananga tu wakati wote bila...
Ebwana nemeenda kumtembelea mjomba maeneo ya mkuranga mkoa wa pwani nina wiki sasa, nimekuta mjomba ana bekitatu mtoto wa morogoro anaonekana wa kuja ila ukimtazama kwa jicho ya ulafi mtoto anaita.
Maana ni maji ya kunde mfifio, mwembamba kiasi sio sana na ana kitako kinachoendana na umbo lake...
Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026.
Madawati hayo yaligharimu kiasi cha Shilingi milioni tatu, fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa...
Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo
Habari wakuu,
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku kama njia ya kujiajiri. Nimesomea mifugo, kwa hiyo nina msingi wa elimu ya ufugaji, changamoto yangu kubwa kwa sasa ni mtaji wa kuanzia.
Sina mpango wa kuanza na kuku wengi. Nataka kuanzia chini...
Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu.
Leo wanaJf nimekuja na hili.Hapo zamani nilinunua kiwanja huko Dodoma Squaremita 453 .Nikaondoka muda...
MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI
Mtu wa vizinga secretarybird
Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Niachen jaman msinikalipie NALUD...
Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan.
Je, utaratibu ukoje?
By. Boss la Bandari zote za Tanganyika.
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.
Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri.
Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli!
Ukumanyoko wala si dili! 😎
Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu.
Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima, Mteja ananufaika kwa kukandwa kandwa viungo, kunyoshwa misuli na kujisikia mwili Una mapumziko na...
Habari zenu wana Forum,
Leo wakati natembea nimekuta chungu kizuri sana kimefunikwa njia panda. Nilivyokiangalia, ndani kilikuwa na mabaki ya madawa fulani hivi ya kienyeji na bado kiko kwenye hali nzuri sana na hakijavunjika.
Kwa jinsi kilivyo kizuri na thabiti, nimeona ni haramu kukiaacha...
Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
Jaji mstaafu Joseph Warioba, ameonesha wasiwasi wake juu ya uwezekano wa nchi kupata Katiba Mpya kabla ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2029.
Akizungumza leo Agosti 28, 2026, katika mkutano wa wadau wa masuala ya kidemokrasia uliofanyika katika makao makuu ya Chama cha Wanasheria...
I hope mko poa wakuu.
Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi.
Kuna;
-Mchango wa ujenzi...
Nahitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used naomba msada kwa mwenye uelewa nazo anipitishe kwenye darasa kabla sijachukua hatua yeyote ya manunuzi.
Asante 🙏🏾
Naishi Lindi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.