BARUA YA MALALAMIKO
Tarehe: 17 Septemba 2026
KWA:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
S.L.P. 10,
DODOMA.
YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA
Ndugu Katibu Mkuu,
Tunakuandikia kuwasilisha...
Anonymous
Thread
barua
dodoma
elimu
form six
format
katibu
katibu mkuu
kuhusu
malalamiko
mkuu
mpya
mtaala
mtaala mpya
mtihani
sayansisayansinateknolojia
septemba
tarehe
teknolojia
wizara
wizara ya elimu
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika Shirika la Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), maarufu kama NYUMBU, lililopo Kibaha, Mkoa wa Pwani, kwa lengo la kujionea utendaji wa shirika hilo na kutathmini...
https://www.youtube.com/live/v5iSJl0zCvA?si=7kTwypJn-40quhtu
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu matukio ya kukamatwa kwa wahadhiri wa vyuo vikuu mbalimbali nchini na inalaani hatua za kuwakamata wanataaluma hao katika mazingira yanayoibua maswali kuhusu uzingatiaji wa taratibu za kisheria na...
Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea yule sheikh alimuita chizi na watu wamuondoe.
Hii ni kwa Afrika ambapo mambo kama sayansi na...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
Anonymous
Thread
barua ya wazi
elimu
malalamiko
nyongeza
sayansinateknolojia
vyuo vikuu
waziri wa elimu
Biblia ilitabiri zamani sana kuhusu siku tunazoishi leo. Katika Danieli 12:4 imeandikwa: “Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho. Wengi wataenda mbio huku na huko, na maarifa yataongezeka.”
Unabii huo tumeona ukitimia waziwazi kwa macho yetu...
Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
Hawa wahindi ndio waliokuwa pamoja na wahuni CCM.
Miaka ya ujana nilijaribu kuimba mbele ya mpenzi wangu nikajua S2kizzy kabla ajazaliwa angetunga beat na mimi ningeingiza sauti ya mbosso.
Sasa hawa watu wa asia mnawezaje kuangalia masinema yao yani stering kafa mwanzo wa sinema alafu mbwa na...
Na: Mjumbe wa Nuru – Nahunel Shavari, Mtoto wa Ain Soph Aur – kutoka Watchers HQ
SURA YA KWANZA: SAYANSI NI NINI?
Neno "sayansi" linatokana na neno la Kilatini scientia, likimaanisha "maarifa." Lakini maana yake ya ndani zaidi ni mfumo wa kutafuta maarifa kuhusu ukweli wa ulimwengu kupitia...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22].
Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Mnamo Mei 13, 2025, Bunge la Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026, yenye jumla ya shilingi trilioni 2.439.
Bajeti hiyo imeongezeka kwa shilingi trilioni 0.469, sawa na ongezeko la takribani asilimia 23.8...
Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli.
Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema:
"Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
Katika ulimwengu unaotegemea teknolojia na sayansi thabiti, madai yanayopinga kanuni za msingi huvutia hisia kali, aidha za matumaini au wasiwasi. Maxwell Chikumbutso, raia wa Zimbabwe, anadai kuvumbua gari linalojiendesha kwa kutumia mawimbi ya redio na sauti, madai yanayopingana na ufahamu wa...
ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.
Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania.
Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi.
Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.