miaka 100

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    Hii Ndiyo Teknolojia sasa, Baada ya Miaka 100 Israel Imefanikiwa kuunda hii kitu.

    Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya...
  2. N

    Ukiwaelewa Walimwengu.... hawakupishida

    Kwa jinsi tulivyoumbwa hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, kila dereva anamuona mwenzake hajui kuendesha chombo cha moto.
  3. Balqior

    Nafikiri miaka 100 ijayo taasisi ya ndoa haitakuwepo kabisa

    Hi, Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho ni kudanga, wanaume wataona wanawake wote ni wadangaji, hata wakioana, muunganiko wa moyoni...
  4. Immortal Techniques

    Unaionaje Africa miaka 100 Ijayo? Case study: Tanzania

    Habari wanajamvi? Toka nchi nyingi za Africa zipate uhuru (Political independence) toka Kwa mkoloni mengi ysmefanywa kwe sector mbali mbali mbali,kijamii na kiuchumi, ni zaidi ya miaka 50 toka nchi nyingi zipate uhuru ila kasi ya maendeleo imekuwa aiendani na uvunaji rasilimali( Resources...
  5. Hyrax

    Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
  6. K

    "Heri wao walioushuhudia uongozi wa Rais Samia", yatakuwa maneno ya vizazi vyetu 50-100 ijayo

    Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia. Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
  7. B

    Msigwa: hakuna bandari iliyouzwa kwa miaka 100 na hakuna bandari itakayouzwa Tanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari za Tanzania zimeuzwa kwa kampuni ya DP World kutoka Dubai kwa miaka 100 na kusema jambo hilo halina ukweli wowote. Akizungumza na waandishi wa habari wa kimtandao (JUMIKITA)...
  8. N

    "Plasduce Mbossa: Hakuna Mkataba wa Miaka 100 katika Bandari ya Dar es Salaam"

    Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu. Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
  9. Suley2019

    Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  10. J

    Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  11. Nobunaga

    Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba. Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai)...
  12. Stephano Mgendanyi

    Puuzeni Taarifa za Bandari ya Dar es Salaam Kuuzwa Miaka 100

    PUUZENI TAARIFA ZA BANDARI KUUZWA MIAKA 100 (PUUZENI UPOTOSHAJI UNAOSAMBAZWA KUWA BANDARI YA DAR ES SALAAM IMEUZWA) Kilichotolewa ni tangazo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka maoni ya wadau kuhusu azimio la Bunge la kuridhia mapendekezo ya Serikali ya ushirikiano kati ya...
  13. Suley2019

    TPA yakanusha kuipa DP World uendeshaji wa Bandari ya Dar kwa miaka 100

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Serikali imepanga kuipa kampuni ya DP World ya Dubai kandarasi ya uendeshaji wa shughuli za Bandari ya Dar es Salaam kwa muda wa miaka mia moja ni upotoshaji unaofanywa kwa makusudi na...
  14. R

    Ilani ipi ya Uchaguzi inatumika kutekeleza issue hii nyeti?

    Ulifanyika uchaguzi 2020, Chama Cha mapinduzi kilimpa Magufuli na sa100 ilani waliyopitia nayo Nchi nzima kuinadi Kwa wananchi. Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza Magufuli na Sa100 kuuza au kukodisha bandari yetu ya Dar Kwa Miaka 100 au zaidi, Bali ilielekeza...
  15. Sildenafil Citrate

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  16. BARD AI

    Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

    Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata. Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
  17. S

    Hitachukua miaka 100 kumpata mchezaji hatari kama huyu Tanzania

    Nchini Uganda 1990's katika daladala 10 za kubeba abiria basi 5 kati ya hizo zilikua na picha/jina LUNYAMILA. Moja kati ya vipaji vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya mpira. Kuna show aliwapiga Mamelodi Sundowns pale CCM KIRUMBA 2001 mpaka kocha anauliza huyu ni Mtanzania? Mwaka 1997...
  18. 2019

    Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  19. goroko77

    Maadhimisho ya miaka 100 ya Shule ya Sekondari ya Old Moshi. Tukutane Wahandisi tuliosoma hapo

    MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA SHULE YA SEKONDARI OLD MOSHI(1922 - 2022). - Shule ya Sekondari Old Moshi inaenda kutimiza miaka 100 mwezi Oktoba, 2022, tangu kuanzishwa kwake Oktoba, 1922. Shule hii kongwe ya Old Moshi ilianzishwa na serikali ya Waingereza mwaka 1922 ikiwa ni shule ya kwanza ya...
Back
Top Bottom