Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya...
Kama kamera inaonyesha upande mmoja tu wa tukio, tunajuaje upande ambao haukuonyeshwa?
Je, habari inaweza kuwa ya kweli lakini bado ikampotosha mtazamaji kwa kuacha baadhi ya ukweli?
Nani anaamua tukio gani liwe headline na lipi lisitajwe kabisa?
Je, kurudia habari moja mara 100 kunaweza...
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.
Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.
Sio kwa...
1. Mpaka leo wangalikiwa chama kimoja kwani vuguvugu la siasa la vyama vingi ilianzia Zanzibar
2. Biashara: Rais mwinyi ndie aliefungua biashara kwani zamani kuuza sabuni na dawa ya mswaki ilikua kosa
3. Kujiuzulu uwaziri: Mheshimiwa Mwinyi ndio kiongozi pekee aliejiuzulu kwa hiari bila ya...
Kumekuwa na malalamiko mengi sana katika jamii juu ya mambo Kadha wa Kadha:
1;kupungua Kwa uzalendo
2;Mmomonyoko wa maadili ambao hasa hasa unaonekana Kwa kuwa na talaka nyingi,ongezeko la masingle Maza,kutokujali haki ya kuishi
Ushoga hadharani
3;Uvivu na udhembe katika ufanyaji kazi...
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.
Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia...
Nadhani ujinga wa watanzania upo kwenye akili. Sijawahi kuona watu wakichunguza majawabu
Kwenye historia ya Tanzania, Samia aandikwe kwa red pen
Vijana waliandamana ili kupaza sauti baada ya katiba ya nchi na katiba ya CCM kuvurugwa .
Samia kwa makusudi na kwa kujua analolifanya ni kosa na...
Kwa masikitiko makubwa sana
Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA.
Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana
Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao :
Kwenu CCM wenye akili...
Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya kijidanganya kwamba tumewazidi. kuna mambo machache ya kujifunza
1. Katiba Mpya: Kenya pamoja na...
Kwa yaliyotokea Tanzania mwaka jana ambapo, kwa mara ya pilli, watawala wetu wachovu na hovyo waliua watu wetu tokana na maandamano ya Oktaba 29 na kinachoendelea kwa sasa, ni dhahiri utawala wetu umechoka, umeshindwa, na hata kufulia. Umejaribu kutulisha udini uchwara na kushindwa. Umejaribu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye.
Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini?
Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama .
Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao.
Siku ya uchaguzi na baada ya...
Na wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.
Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla.
Tukubaliane waanga wengi ni wao
Muhimbili...
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini.
Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
Tutampopoa Makamba mpaka akome
Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge
Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya.
Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.