Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?
Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
Siku zote falsafa yangu ni akili ikishindwa kutatua jambo fulani basi ujinga au wendawazimu utumike kubuni njia mpya ya kutatua changamoto
OFFSIDE TRAP NI NINI?
Hii ni mbinu mpya inayotumiwa na FC BARCELONA kuharibu shambukizi la wapinzani na kuwapunguza makali washambuliaji hatari duniani kama...
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico.
Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu,
Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto.
Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida.
Nini kitatokea? Nani atafungwa?
Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
Siku ya 1: Mechi dhidi ya Espanyol
Siku ya 198: Anafunga goli lake la kwanza
Siku ya 876: Hat Trick ya kwanza dhidi ya Real Madrid
Siku ya 915: Anafunga Goli ‘kali’ dhidi ya Getafe
Siku ya 1,873: Ashinda Ballon d'Or ya kwanza
Siku ya 1,999: Anaifunga Arsenal Magoli Manne
Siku ya 2,700...
Wojciech Szczęsny, mlinda lango wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Poland, amesajiliwa rasmi na FC Barcelona. Barcelona ilimchukua Szczęsny kama suluhisho la dharura baada ya Marc-André ter Stegen kuumia na kutarajiwa kukosa msimu wote uliosalia.
Szczęsny, ambaye alikuwa amestaafu...
Anyway Jana osasuna kaonesha panapovuja japo Kila mtu analia na Torres ila mi nasema wote wamefungwa
4 goals sio joke hapa nangoja Leo atletico azingue tuanze kupumulia unyayo wa mtu
Klabu za Hispania, #RealMadrid na #FCBarcelona zinaendelea kumfuatia kwa ukaribu beki wa pembeni wa #Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25), ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa Msimu wa 2024/25.
Inadaiwa Liverpool ipo tayari kumpa mkataba mpya utakaomfanya alipwe Pauni...
staa wa muziki wa bongo fleva nchini tanzania Diamond platmumz amefanya show ya kibabe usiku wa kuamkia leo julai29 huko barcelona nchini Hispania katika event ya afrobrunch ikiwa ni maadhimisho ya ya mziki wa afrobeats , akiwaacha mashabiki hoi kwa kutumbuiza nyimbo zake pendwa ,hii ikiwa ni...
Hii ni moja ya timu yangu pendwa sana ila nashangaa Sasa hivi sijui ndio pesa hamna aisee yaani huyu mtoto Nico Williams anatutoa jasho aisee haya mateso ya hii klabu yangu kutoka moyoni yataisha lini? Mahasimu wetu wanajaza watu tu kama hawajachukua UEFA mwaka jana sisi hata huyu Nico Williams...
Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu .
Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo .
Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
Wakati msimu wa 2023/24 ukielekea ukingoni, inadaiwa kuwa Klabu ya Barcelona ina mpango wa kumuuza mshambuliaji wake, Robert Lewandowski mwishoni mwa msimu huu na nafasi yake kuchukuliwa na straika wa Liverpool, Darwin Nunez.
Uamuzi huo umekuja baada ya Barcelona kushuhudia wapinzani wao wa...
Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1.
Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka...
Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza...
Upo tayari kujua tunachokuletea leo? TECNO ilitambulisha Dynamic 1, mbwa wa AI roboti, katika MWC pale Barcelona mwaka huu wa 2024 Februari 26. Kwa muundo wake rahisi kutumia na vipengele vya kisasa, inawakilisha dhamira kuu ya TECNO iitwayo "STOP AT NOTHING” Dynamic 1 inalenga kufanya maisha...
Kocha wa FC Barcelona, Xavi Hernández amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari.
Ametangaza uamuzi huo baada ya kushuhudia timu yake ikiwa nyumbani kukutana na kichapo cha magoli 5-3...
Full name: Futbol Club Barcelona
Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team)
Cules or Barcelonistas (Supportes)
Blaugranes or Azulgranas (Supporters)
Founded: 29 November 1899
League: La Liga
Website...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.