Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, kuhusu mkakati wa serikali juu ya malipo kwa Walimu wanaojitolea ili walau waweze kukidhi mahitaji yao.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, amesema kuwa, kwa mujibu wa ufafanuzi wa awali uliotolewa na Waziri Mkuu...
Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi.
Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
Anonymous
Thread
barua ya wazi
elimu
malalamiko
nyongeza
sayansi na teknolojia
vyuo vikuu
waziriwaelimu
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu.
Naibu Waziri ameeleza...
Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na sie tunasoma
Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku...
Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu...
Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira.
Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja na Naibu Waziri, Wanu Hafidh Ameir, wamesisitiza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuendeleza mageuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini.
Akizungumza mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara tarehe 18 Novemba 2025...
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open...
Proffesa Mkeda natumah ujambo na UNAENDELEA vizuri na majukumu Yako kampeni kwa lengo la kulinja taifa
Mh Proffesa MKENDA tunaamini serikali ya Tanzania iliporuhusu wawekezaji binafsi katika sector ya elimu haikuwafanya wawe juu ya Sheria au wavunje Sheria za nchi hii Hasa katika sector ya...
Waziri wa Elimu Kaka yangu Profesa Adolf Mkenda, naandika haya kukujuza haya. Vyuo vya kati vilikuwa kimbilio letu la watoto wanaosoma shule za kata, shule ambazo wanafunzi wanaweza kumaliza mwaka bila kuwa na Mwalimu wa Hesabu, Physics nk.
Kwasasa wazazi wengi hawawapeleki watoto wao high...
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda,
Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu baadhi ya maeneo muhimu katika hotuba na maamuzi yako kuhusiana na elimu ya juu—hasa kuhusu hatua ya kusimamisha baadhi ya kozi katika vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemvua wadhifa Waziri wa Elimu ya Juu, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizotolewa na mshirika mkuu wa muungano wa serikali, chama cha Democratic Alliance (DA). Taarifa hiyo imetolewa Jumatatu na ofisi ya rais, ikiwa ni...
WAZIRI WA ELIMU PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU WAMESHINDWA KUSIMAMIA SYLLABUS NA MIHULA YA SHULE: SHULE BINAFSI ZINA MIHULA NA LIKIZO ZAO TOFAUTI
Katika suala hili msomaji zingatia haya:
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) ina jukumu la kutafsiri kwa vitendo Sera za Serikali kuhusu Elimu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, itakayofanyika Aprili 13, 2025 Jijini Dar es Salaam.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf...
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Serikali imeamua kuwekeza katika elimu ya mafunzo na ufundi stadi (VETA) ili kuweza kuongeza ajira nchini kwa miaka ijayo kwani elimu hiyo itasaidia katika kuhimili ongezeko la watu.
Prof Mkenda amezungumza hayo mkoani Morogoro...
Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye majukwaa.
Usahili wa walimu umefanyika na unendelea kufanyika kwa malengo yale yale ya Prof. Mkenda ila...
Wakuu,
Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Dkt. Adolf Mkenda amesema wizara hiyo itatuma timu ya wataalam Shule ya Sekondari Baobab iliyopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuchunguza kwa kina sakata la video zinazosambaa mtandaoni ambazo ni kinyume na maadili ya Kitanzania.
Soma pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.