kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Serikali imejenga mochwari ya kisasa yenye vyoo, sio kawaida

    Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii. Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa kisasa/Diversified Economy

    Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi wanayoita ya kimkakati, aina ya mradi km huu haupo..TPDC wako busy kutafuta mafuta wembere.. Halafu...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Juzi ijumaa uchambuzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa kwenye gazeti la uhuru

    📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA. Na Bwanku M Bwanku. Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Boma linapatikana kwa mauzo – Kimanzichana, Mkuranga

    Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake. 🏠 Vyumba 5 – 4 Master 🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store 📐 Kiwanja: mita za mraba 19m × 17m na 18m × 14m 💧...
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli Nyuma ya Teknolojia za Kisasa

    Zamani zadi ya miaka 2,000 iliyopita, Socrates, mwanafalsafa maarufu wa Kigiriki, alipinga maandishi akidhani yataharibu uwezo wa binadamu wa kukumbuka mambo kichwani. Hofu kama hii imejirudia kila teknolojia mpya inapokuja na uwezo ambao watu hawajawahi kuuona. Internet, radio, upigaji picha...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Soko kuu la kisasa bariadi lafikia 48%

    Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara kwa saa 24, hatua itakayochochea biashara na uchumi wa mji huo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mbogamboga kisasa

    Habari WanaJF Kuna idea nimepata ya kuanzisha kilimo cha mbogamboga kwenye eneo la ekari moja na nusu. Nataka kufanya kisasa kwa mtaji wa 2M. Nimwagilie kwa drip irrigation. Bamia,Chinese, mchicha na spinach ndio mboga nataka kulima. Naomba ushauri kwenye hili kabla sijatupia pesa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  12. bless on

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyumba za Kisasa Hazina Grill Milangoni?

    Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye nyumba hawaweki grill wakati kwenye madirisha Kuna vyuma vya kutosha. Naamini Kuna mafundi humu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  14. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tunajenga mashimo ya choo ya kisasa yasiyojaa

    Tunajenga mashimo ya choo ya kisasa ambayo hayajai kamwe na hakuna tena kunyonya bei ni laki 8 kwa shimo moja tupigie 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Good morning chitchat

    Jibu kwa ufahamu ama uzoefu wako tuu.. Hakuna kutumia AI
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

    Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa. Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena. Wakawarubuni baadhi ya viongozi kuanzisha/kuhamia ACT/CHAUMA, kina Zitto, Mwalimu, leo wanatamani kurudi. Wamemtumia msajili wa vyama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisasa ya kupumbaza umma kisiasa—sura ya nje dhidi ya ukweli halisi nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan kumfariji mchezaji wa Young Africans SC, Pacôme Zouzoua, ni mfano halisi Aga Khan Hospital. Kwa mtazamaji...
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itenge eneo hata la hekari 700 pajengwe ukuta ambapo raia hawataingia kizembe then kifanyike kilimo cha zao la Bangi kisasa.

    na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa, Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu. Tz mapori ni mengi sana
  19. D

    JamiiForums Tanzania Habari njema kibaha! Mradi wa kisasa majitaka mbioni kukamilika

    Ujenzi wa mtambo wa kisasa wa kuchakata majitaka katika eneo la Mitamba, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake huku lengo likiwa ni kuimarisha usafi wa mazingira kwa wananchi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya biashara vya kisasa

    Vibanda biashara vya kisasa 🔥 Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi. Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥.. Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz...
Back
Top Bottom