maisha yetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa watanganyika hali ya kutekana, kuuana, kauli za ovyo za viongozi tumeshazifanya kama sehemu ya maisha yetu hatujali na tunaona kawaida tu

    Naona kama watanganyika tumesha zoea hili la serikali kuua watu, yani wala hatujali tunaona kawaida tuu, na wala hatuoni kama ni mjadala tena, yani ni kama tumesha kuwa polarised kwa matukio ya namna hii ,tumesha ona ni sehemu ya maisha yetu na serikali , Je, Ndio tumesha kubali kutawaliwa kwa...
  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Niliishi Mbeya kuna maswaibu yalinikumba sitosahau, mpaka nikahama!

    Na huo ndo ukweli Wanaroga vibaya sana Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

    Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Maisha yetu ni siasa, huwezi kujitenganisha na siasa

    "Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa. Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Sauti nne pekee ambazo sisi wanaume tunapenda kuziskia kwenye maisha yetu.

    #everything in life come and Go
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hii ni message kwa ma-snitch na ma-clown wanaocheza na maisha yetu – we’re done with this bullshit

    wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass puppets mnaoweza kutuvuta kamba mnavyotaka? Hell no, man! Tumeshastuka na huu usenge wenu! Mnatupiga...
  7. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Gambo na Makonda:Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.

    Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia. Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda nafasi ukudhibitishie yupi ni rafiki wa dhati na yupi ni rafiki wa maslahi na yupi ni adui yako...
  8. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Football unites people

    Jota kafanya niamini kuwa football au aina yeyote wa mchezo inaunganisha watu michezo inachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli ambazo za wanafalsafa mpaka leo zinaishi kwenye maisha yetu mifano tunayo

    Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika. “Even the worst rulers always find men who will praise them.” (Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.) Au katika Kilatini kama alivyoandika...
  10. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Makosa katika Maisha Yetu

    Binadamu wote sio wakamilifu, mara kwa mara tumefanya matendo na tumesema maneno ambayo kwa namna moja yameweza kuleta madhara katika maisha yetu na wenzetu. Watu wengi wanasema Makosa katika Maisha hayaepukiki, ndio maana kila mtu ameshawah kufanya makosa. Tuachane na hayo. Maana Yaliopita sio...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lissu kajitolea maisha yake kupigani Haki. wewe na Mimi tumejitolea nini maisha yetu

    Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini? Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
  12. Fatuma yuso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers tunapambana na ku-risk maisha kwa ajili ya damu ya mtu asiyejali wala kuwaza majukumu yake

    Ndugu zangu, Naongea kwa uchungu hadi nahisi kupiga kelele... Nilikuwa na mahusiano na mkaka mmoja hivi. Mahusiano yakanoga, nikashika ujauzito. Akakubali fresh tu, tukawa tunaishi pamoja. Baadaye ujauzito ukaanza kunisumbua naumwaumwa ikabidi nirudi nyumbani nikiwa na ujauzito wa miezi miwili...
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Laana ya mizimu na hatari katika maisha yetu hakika nyota zetu zipo kuzimu

    LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao.. Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura

    Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Vijana wa bongo, Tuishi kwa kuendana na hali halisia ya maisha yetu vinginevyo tunajitia katika maisha ya stress au kufanya maamuzi yatakayo tucost.

    Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu. Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho. Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc. Sawa...
  16. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Madokta mnacheza na maisha yetu?

    Wakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye mwenyewe! Muda mwingine hata yeye mwenyewe anasahau ni kitu gani amekiandika! Kwa uzembe huu wa kurush...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kero hizi hazijawahi kuisha , sasa ni sehemu ya maisha yetu

    Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo. 1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna sehemu hutopita nayo kisa barabarani mbovu. 2.shida ya maji ipo tu hii , tafta pesa chimba kisima...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Fomula Zinazouendesha Ulimwengu: Uchambuzi wa Msingi wa Fomula 17 Zilizobadilisha Maisha Yetu

    Katika maisha yetu ya kila siku, fomula zimekuwa sehemu ya msingi wa maarifa, ingawa mara nyingi hatuzitambui. Kutoka kwenye miundo ya majengo tunayoishi hadi teknolojia tunayoshikilia mkononi, fomula zimefungua milango ya uvumbuzi wa sayansi, teknolojia, na hata maisha yetu ya kawaida. Lakini...
  20. dogman360

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya maisha yetu hapa bongo tunayaishi tukitegemea bahati tu(luck) itokee

    Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
Back
Top Bottom