wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania WAMAMA WA ARUSHA NA MOSHI WALIO NILEA WOTE WAME ZAO WASHA KUFA, WAMEBAKI WAO KAMA WENYE NYUMBA, SIJUI NATAKA KUSEMA NINI

    Baada ya kutoka nyumbani kuanzia safari ya maisha ya chuo nilikua mbali na nyumbani. Nikaanza ishi sehemu tofauti nikipanga chumba kama kawaida asilimia kubwa wamama wote walio nipangisha nyumba wale wa ARUSHA na MOSHI, wame ZAO washa tangulia mbele za haki, ni mipango ya mungu, sijui? Anyway...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

    Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth. Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Watakapo tuacha tukichinjana kisa dini, wao watakuwa juu na helicopter wakisepa. KUWENI MAKINI WATANZANIA.

  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa chadema wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jamiiafrica inapaswa kuwa mstari wa mbele kukuza teknolojia za ndani wao ni walezi na wakongwe kwenye tasnia

    JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Baadhi ya Dini Kutoruhusu Viongozi Wao Kuoa Wanachochea Tabia za Ulawiti na Ushoga.

    My Take Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara. Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tafakari:Hivi hawa waliotuzudi kila kitu wakasema nyie mje kwao alafu wao waje afrika.

    Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
  10. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wakipiga mkiani wao wanapiga kichwani

    Ni mambo ya trend kati ya wanaharakati na wanapendwa mchana huu imekuja moja tu imeshusha zile zote zilizotamba mpaka jana usiku yetu macho swali je hii siyo sawa na ile katibu ilimkuta akaomba jiudhuru
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Natumia laini ya Airtel na nimeihakiki mara mbili ila bado napata ujumbe “namba yako imesajili namba za uhalifu”

    Habari, Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa “namba yako imesajili namba za uhalifu.” Hata hivyo, hili si jambo jipya. Awali nilishawahi kwenda...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je Israeli iko overrated? Au ni kweli wao ni wabobevu zaidi duniani?

    Swali la kama Israel ni "overrated" (imepewa sifa kupita kiasi) au la, linategemea sana sekta unayoiangalia (kijeshi, kiteknolojia, au kiuchumi) na vigezo unavyotumia. Tathmini halisi inaonyesha maeneo ambayo Israel iko juu sana kulingana na sifa zake, na maeneo mengine ambapo ukweli wa mambo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ahadi za mwana TANU ( CCM): Kati ya hizi ni zipi CCM na viongozi wao wanazitekeleza?

    Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
  14. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania. Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    Na. M. M. Mwanakijiji Tunajaribu kuaminishwa kuwa tunahitaji maridhiano. Kwamba, tumekosana kiasi kwamba ili tuweze kupatana ni lazima tukae chini na kukubaliana kupatana. Manabii uchwara wa maridhiano wanataka taifa zima lipige magoti na kuanza kufukiza ubani kwenye madhabahu waliyoitengeneza...
  17. min -me

    JamiiForums Tanzania Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

    Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi. Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Huwa nashindwa kuelewa hili ni bunge la wananchi au bunge la serikali? Mbona wananchi wanatekwa kila siku hatuoni bunge likiongelea wananchi wao?

    Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
  19. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  20. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
Back
Top Bottom