mapinduzi

  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania CCM hawawezi toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha

    Kichwa cha uzi kinatoshea niende kwenye why! Kwa sababu Ccm hawawez toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha na wanaoufanya kwa watanzania so sio rahisi hawa jamaa kuachia kirahisi sio kabisa. Na demokrasia haiwez waangusha hawa jamaa. Na kama ni demokrasia, ashinde...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka Mapinduzi ya Syria na kuanza kuona nchini kwetu jinsi uhuru unavyozidi kupunguza umri wa kuuliza

    Syria ilifikia mpaka kila mtu uhuru wa kuhoji ulikosekana. Siku moja watoto waliandika "Samia must go" .Kilichotokea walitekwa na kuumizwa sana na ndio mwanzo wa nchi ilipofikia hapo. Kwa haya ya nchi usishangae wanafunzi wa sekondari au msingi wakatekwa kisa kuhoji kwenye vifaa vyao...
  3. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kifikra, Njia ya Kijana Kufikia Uhuru wa Kiuchumi

    KUNA VITA KUBWA INAYOENDELEA NDANI YA AKILI YA KILA KIJANA... 1. Wengine wanaamini hawawezi. 2. Wengine wanasubiri ajira. 3. Wengine wanaogopa kuanza. Lakini ukweli ni huu... Maisha hubadilika pale fikra zinapobadilika. 📘 MAPINDUZI YA FIKRA; Njia ya Kijana Kufikia Uhuru wa Kiuchumi Kitabu hiki...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya tanzania ya CCM mtaji wao ni kukuona maskini ili wazidi kudumu kukufariji,Pitia hapa.

    Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi. Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana. Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Uturuki na waliyokumbuka na sheria zikabadilishwa ila hapa Tanzania mnaogopa nini?

    Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lugomela: Niliwapatia fedha za posho baadhi ya madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM mwaka 2025 hawakutekeleza makubaliano

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo. Akizungumza katika kikao cha...
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Ni mtu gani anayekubalika na mwenye mvuto kwa watu ambaye anapendwa na anakubalika kwa watanzania ndani ya chama cha Mapinduzi?

    Habari wakubwa Napenda niulize swali sio kwa ubaya tu na nipewe majibu mazuri na sababu za kumtaja huyo mtu. Je kwa sasa ni nani ndani ya CCM ambaye watu wanampenda na kumwamini na akisimama kwenye jukwaa anaweza kuwajaza watu wakakaa na wakamsikiliza ? Isiwe huyu mtu amewalipa au...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Tanganyika uzungumzii waliofikisha ila unazungumzia Nyerere na Zanzibar swala Mapinduzi umzungumzii John Okello.Kwa nini?

    Kuna mzee hapa JF ni mzee wetu ana mchango mkubwa wa kutupa historia ya uhuru wa tanganyika na waliofikisha naombeni mtag. Ila kwa kuwa ndio wajanja wakatumia njia hiyo kuonesha wao hakuna utofauti kama ule wa mzee shayo na koyi mzungu. Ukija Zanzibar kuna jamaa alikwenda kufanya kipindi...
  10. gonya

    JamiiForums Tanzania Data Science: Fursa na umuhimu wake kwa vijana wa Tanzania katika enzi ya uchumi wa kidigitali

    Utangulizi Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya mabadiliko ya kidigitali (digital transformation). Kila siku, mabilioni ya taarifa (data) huzalishwa kupitia simu za mkononi, mitandao ya kijamii, benki, hospitali, biashara, mifumo ya usafiri, na hata mashine za viwandani. Hata...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

    Sabato Njema! 1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically 2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake. 3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa. 4...
  12. X

    JamiiForums Tanzania China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Yale maandamano ya mapinduzi yangefanikiwa kufika jioni(Giza) nchi ingechafuka mpaka sasa kungekuwa na mapigano/vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Hamjambo! 1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake. Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa maandamano. 2. Ingawaje sikuona Waandamanaji wenye silaha za Moto lakini Nia Yao ilikuwa ni kuiodondosha...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnaweka namba za watu hadharani mkihamasisha watukanwe ila mnakana kuhusika na jaribio la mapinduzi Oktoba 29

    Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake? Sidhani...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu chafunga tena Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. 🚨KUVUNJIKA Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Chafunga Mlango-Bahari wa Hormuz Msemaji wa Makao Makuu ya "Khatam al-Anbiya": ◽️Kulingana na makubaliano ya awali katika mazungumzo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa nia njema, ilikubali kuruhusu idadi ndogo ya meli za mafuta...
  16. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Mijadala JamiiForums: Zana Mpya za Akili Unde (AI) zinakuja Wikendi hii!

    Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi, haraka, na kwa ubora wa kiwango cha juu zaidi. Mimi na wenzangu (timu nzima) tunayo furaha...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Channel Ten na miaka 49 ya Chama cha Mapinduzi

    https://youtu.be/nVH5swbaWcY
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    https://youtu.be/nVH5swbaWcY?si=dQIHSpvr8AhjE2IU
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika mashariki yanahitaji mapinduzi ya kweli by any means necessary

    Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu. Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga? Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani? Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika...
Back
Top Bottom