mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Dhana Potofu ya Umri (makazini na jamii kwa ujumla)

    Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
  3. k-bee

    JamiiForums Tanzania Je, mbona taifa la Malawi haliambiwi liombe kujiepusha na janga linalokuja?

    Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!! Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti akiwasihi raia na waumini wa dini zote kumuomba Mungu atende miujiza taifa livuke salama...! Lakini...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Watalaam, PIN ya Kuverify Adsense Account kwa njia ya Posta kutoka Google mbona haifiki?

    Wakuu, nimerequest PIN kwaajili ya Kuverify Adsense Account, nimesharudia mara 3 sasa, ila haiji. Posta nimeenda sana (uzuri ni box private, na mtu wa Posta tunakutana so aliona jina langu lazima anishtue), ila wapi. Inamaana barua tatu zote zisifike? Na sijakosea address kwamaana barua...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma, watanganyika tunazalauliwa mno, mbona sie ndo twatekwa, twapotezwa kwao hata kunguni haikuwahi tekwa?

    Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini. Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo. Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawai kuona wazungu humu ?

    wakuu kwema inamaana hakuna wazungu single humu
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Sandaland: Vipi mbona kimya???

    Nilitegemea baada ya Speech ya Jana ya Waziri, leo Mzee wa Kokoto au Piko anayemtetea Sandaland aje na Come back ya kibabe...vipi mbona kimya???
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal? Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026 Mbona leo Tena uwanjani Portugal vs Wales?
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

    Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mbona kama rasta za Mr. Cheeks ni chafu?

    Wadau Salam.Ukiziangakia RASTA za Mr Cheeks ni kama chafu ukifananisha na za Fid na Madee.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuma vilivyopo barabarani eneo la Waterfront vimekuwa chanzo vya maumivu kwa Watu, TANROADS mbona hamshughulikii?

    Kuna sehemu hapa Arusha ukitoka kwenye Taa za Sanawari kama unaelekea Moshono kwenye diversion ya service road maarufu kama Waterfront karibu na rafiki Juice Bar, kuna vyuma za kutenganisha barabara kuu na service road hazina alama juu ya uwepo wake. Hii sehemu imekuwa chanzo cha kuumiza watu...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Huwa nashindwa kuelewa hili ni bunge la wananchi au bunge la serikali? Mbona wananchi wanatekwa kila siku hatuoni bunge likiongelea wananchi wao?

    Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

    Coaster la mil 334👇
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  16. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Jee Serikali Yaweza Kufungua Shirika la Kuuza Bangi na Mirungi Kwavile Wao wana Kinga? Mbona Inatoa Hadharani Taarifa Binafsi Bila Kibali cha Mahakama

    Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mbona Nchimbi hauliziwi alipo ? Je watanganyika hawampendi?

    Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi. Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo. Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbona Paul Makonda hayuko frontline kwenye camera kama zamani

    Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media. Je kaamua kuwa low key au...
  19. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

    Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana.. Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth.. Ila baada ya ku kujua au kuku friendzone utaanza kusikia inaitwa vitu vya ajabu, mara, yaani ukaribu ni kama kigezo cha ku...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
Back
Top Bottom