faida na hasara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Samia ana 'options' tatu, tumsaidie kufanya maamuzi sahihi, kila moja ina faida na hasara zake

    Chaguo la kwanza, Samia akiri kilichofanyika Oktoba 29 kilikuwa sio sahihi, aombe radhi, akubali hukumu yeyote kutoka kwa wananchi, aidha kusamehewa au kuwajibishwa, 'kila aombaye husamehewa', ataishi kwa amani. Kifupi: MUNGU NDIYE HAKIMU MKUU. Chaguo la pili, Samia akubali kuwajibika mwenyewe...
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kina faida na hasara zake. Je, kuna faida gani za kuwa masikini?

    Kama kila kitu kina faida na hasara zake je, kuna faida gani za kuwa maskini?
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna faida na hasara gani tukijisogeza zaidi kwa Russia?

    https://youtu.be/tx3B0RfO9-U?si=sFMJsucXg7X-ZISJ
  4. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za ndoa

  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara nchi ikiongozwa na jeshi

    Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi. Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi? Maana hawa ndugu zetu wanajeshi tunajua ni watu wa amri tu mwanzo mwisho. Wasije tu na wazo vijana...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Faida na Hasara za Kuwa Mbunge zidi ya Faida na hasara za kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya

    Faida na Hasara za Kuwa Mbunge Faida 1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni. Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake. 2. Heshima na Umashuhuri Ana hadhi kubwa kijamii na...
  7. Abti

    JamiiForums Tanzania Swala la kujizima data kwenye kujitafuta lina faida na hasara zake

    Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk Upande wa faida: Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Faida na Hasara ambazo ni nyingi za Kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Tangu Mwaka 1977 hadi sasa

    Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi wa faida na hasara za operesheni vijiji 1974

    Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
  10. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuishi single

    Tuanze na faida -Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote. - Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali hili wanaume wenzangu kama nawaona ivi👀👀), unafanya nini? upo na nani, mbona kama nasikia sauti...
  11. MEK_TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake.

    Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake. Mashine za Terez ni mashine madhubuti zilizoundwa kwa ajili ya kufanya KAZI mbalimbali ngumu kama ujenzi, na usafirishaji wa mizigo. Mashine hizi zimepitia mabadiliko makubwa tangu zianze kutengenezwa, na...
  13. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia mafundi maiko kwenye ujenzi

    Tuanze na faida kwanza 1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe. 2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta...
  14. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Kazi za ovyo ovyo ndizo zenye Pesa, ila tambua faida na hasara zake

    Katika jamii yetu, mara nyingi kazi zinazochukuliwa kuwa "za ovyo ovyo" au zisizokuwa na hadhi ya juu zimedharauliwa. Watu wamekuwa na dhana kwamba kazi kama hizi hazina mbele wala nyuma, hazilipi, na haziwezi kumtoa mtu kimaisha. Lakini ukweli ni kwamba, dunia ya sasa imebadilika, na mara...
  15. BENEDICT BONIFACE

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za Wachezaji wa kigeni kwenye Ligi Kuu ya NBC

    Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na: Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wekeza Milioni 7 upate Milioni 20 ndani ya miezi 6

    Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake gunia la debe sita la mpunga ni 30000. Na gunia la mahindi la debe sita linasoma 42,000. Kama una...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Faida na Hasara kwenye (Joint Venture) Mshiriki katika ujenzi wa ghorofa.

    Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
  18. Adam shaha

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia: Faida na Hasara zake katika maisha yetu

    Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
  19. Jerrymsigwa

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  20. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

    Habari wataalam, Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji. natanguliza shukrani zenu kwangu. Karibuni wataalam.
Back
Top Bottom