kutunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo

    Wakuu habari? Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana. Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote. Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko...
  2. Msanii

    Serikali inashindwa nini kutunga sheria ya mamlaka ya kuendeleza tafiti na bunifu za Teknolojia

    Siyo siri, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ujimba tunaoukumbatia. Tunajua kwamba serikali inajenga hofu kubwa sana kwenye suala la mawasiliano kwa sababu mpaka leo inajiweka mbali kwenye maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano. Dunia inakimbia kwa kasi mno, na sasa akili bandia...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
  4. Roving Journalist

    Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  5. S

    Je, TCRA wana mamlaka yoyote ya kutunga sheria?

    Naomba kufahamu kwa wajuvi wa sheria hapa JF. TCRA ni taasisi inayosimamia mawasiliano hapa TZ. Je hawa watu wanahusika na kutunga sheria? Mfano ni kuhusu hili suala la VPN
  6. Akilihuru

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  7. Worldmusicpartner

    Anayeweza kutunga wimbo hit song anahitajika fasta

    Kama unakipaji cha kutunga nyimbo tuwasiliane kuna Beat ipo inatakiwa kutungiwa nyimbo kali yenye melody nzuri kifupi HIT SONG. Hakikisha unaujua muziki na unajua muziki unaotakiwa kwa sasa kwenye soko, hakikisha unajua kutunga melody kali. Nahitaji HIT SONG. Karibu tufanye...
  8. L

    Marekani yapotosha ukweli wa Xinjiang kwa kutunga habari za uwongo

    Chuo Kikuu cha Stanford cha Marekani hivi karibuni kilitoa ripoti iliyofichua kuwa Marekani inatumia mitandao ya kijamii kupotosha maoni ya umma duniani kuhusu Xinjiang. Ripoti hiyo iliyotolewa kwa pamoja na Chuo Kikuu cha Stanford na Kampuni ya Uchambuzi wa Majukwaa ya Kijamii Graphika...
  9. Kyambamasimbi

    Kama Bunge ni chombo cha kutunga sheria kwanini wabunge wengi sio Wanasheria?

    Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria? Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
  10. M

    Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic?

    Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
  11. Pascal Mayalla

    Je, Kuna Haja ya Kutunga Sera ya CSR za Makampuni ili Ziwe Endelevu? Serikali Yaipongeza TotalEnergies Kwa CSR Endelevu Kuwajengea Uwezo Watanzania

    Wanabodi, Japo nchi yetu ni masikini, nchi wafadhili wa maendeleo waliokuwa wanatusaidia kwa misaada mbalimbali, wao ndio huamua wasaidie nini. Enzi za Mwalimu Nyerere, kuna wakati tulikosana na wafadhali kutokana na kupewa misaada yenye masharti, hivyo Nyerere akakataa, Mwinyi alipoingia...
  12. OLS

    Nani anatumia tafiti zilizopo katika kutunga Sera na Sheria?

    Ninafanya utafiti ambao umenihitaji kufungua Hansards za bunge tangu 2003 hadi leo. Japo hii sio moja ya lengo la tafiti yangu lakini nimeona niandike hapa nilichokiona na nia ya kubadilisha ili kuwa na mambo yenye tija kwa nchi yetu Mawazo ya wabunge hayako supported na tafiti wanapotoa...
  13. John Haramba

    Daktari: Matumizi ya Dawa za P2 huchangia mimba kutunga nje ya uzazi

    Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wa jijini Dar es Salaam, Godfrey Chale amewashauri wanawake wanaotumia vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 kuacha kufanya hivyo ili kuepuka madhara yanayoweza kuwapata. “Utafiti uliofanywa nchini Ghana mwaka 2003 ulionyesha kuwa matumizi ya vidonge...
  14. Analogia Malenga

    Spika Tulia: Wananchi hukaribishwa kushiriki kutunga sheria

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema bunge linapotangaza kupokea muswaada na kuhitaji mawazo ya wananchi, ni muhimu wananachi kutumia fursa hiyo kupeleka mawazo yao. Amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria ambapo amesema mchakato wa utungaji wa sheria...
  15. D

    Kipi kiliwafanya wahenga kutunga misemo kama hii "Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu"

    Kuna wakati nashawishika kuamini hata bibilia huenda iliandikwa kwa utaratibu kama huu wa wahenga! Mfano misemo hii ingekuwa na majina ya wahenga ingeleta maana ileile ya kibiblia! Mhenga 1:1 Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo Mhenga 1:2 Asiyesikia la mkuu huvunjika guu Mhenga 1:3 Asiyefunzwa na...
  16. Analogia Malenga

    Serikali kutunga Sera ya Diaspora kabla mwaka kuisha

    WAZIRI wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula amesema kabla ya mwaka huu kuisha Sera ya Nje inayojumuisha Sera ya Diaspora itakuwa tayari na hiyo ni kwa kutambua uhimu wa diaspora katika kuchangia maendeleo na masuala ya diaspora yanapewa kipaumbele. Ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
Back
Top Bottom