NB : Tohara za kikabila tayari zinajulikana na zipo kabla ya dini na wakoloni kufika, Tudiscuss kuhusu tohara za wanawake katika uislam.
Tumezoea kuona vitendo hivi katika baadhi ya jamii hapa nchini vikifanywa kwa misingi ya kitamaduni.
Hata hivyo, kwa upande mwingine, suala hili pia...
aisha
hata
janaba
kuifanya
kuoga
kuoga janaba
mji
mohammad
mtukufu
mtume
mtume mohammad
mwanamke
mwanaume
mwanaume na mwanamke
namnanamnaya
sehemu
uislamu
vizuri
wali
wanawake
Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili .
Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo.
Cha kufanya...
Jinsi ya kugandashia maziwa nunua maziwa fresh lita 2 au vile upendavyo yachemshe yapoe Kisha chukua vijiko 4 vya kulia chakula vya mtindi (culture) iwe asass, au Tanga fresh ambayo unapenda weka kwenye maziwa Yako ambayo yamepoa👌Kisha weka kwenye chombo kisichopitisha hewa funika kwa masaa 24...
Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani.
Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" ,
😁😁 no bro, you are just dumb
The Worst
Marcostilone
mcTobby
Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri.
Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli!
Ukumanyoko wala si dili! 😎
Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha
Habari wana JF,
Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada.
Wengine wana...
Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara
Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji
Namna ya kupata utajiri kwenye biashara
Namna ya kupata wateja
Namna ya kulinda biashara kikawaida...
Nini maana ya Shukrani?
Kumekuwa na maswali mengi kwa watu juu ya kumshukuru Mungu na kila mmoja anasema yake
Kumshukuru Mungu ni zaidi ya kutoa sadaka, ingawa kumshukuru Mungu kunaambatana na sadaka
Mambo ya msingi katika kumshukuru Mungu
Jambo la kwanza
Moyo wa shukrani
Moyo wa shukrani ni...
Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali.
Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
Matapeli wengi wa kisasa hutumia mbinu ya kisaikolojia inayoitwa "Social Proof" (Kutafuta Uhuishaji wa Kijamii). Kupiga picha na kiongozi mkuu au mtu maarufu na kuipost mtandaoni huwasaidia kujenga uaminifu wa haraka (instant credibility) ili waathirika wasiwaatilie shaka wanapowaomba fedha au...
Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima
Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi.
Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti ameitwana polisi / walifika Nyumbani kwake na sasa hajulikani alipo
Wekeni protocol mtu afanyeje...
"Wake zetu wanafundishwa namna ya kuja kutushambulia ndani ya familia. Ukisikia vipindi vyote, mwanamke ambaye amekubali kwamba, 'Mimi mume wangu acha atafute, mimi acha nikae na watoto, nilee watoto,' anaonekana ni mjinga kwenye taifa hili.
Wanamtangaza kama mjinga: 'Unakubaliaje kukaa...
Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu
Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa.
Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa.
Tukiacha hii laana...
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya ubaya wake fanya utujuze. Huu ni ujuzi muhimu sana.
TRA ni wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya Serikali, lakini pia zipo serikali za Mitaa na mamlaka zingine.
Ishauri Serikali yako pendwa namna ya kukusanya kodi kwa watu wafuatao ambao wanaingiza malaki na milioni kwa siku lakini hata leseni ya Biashara hawakati:-
Wauza viatu , urembo na nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.