Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia ushirikiano wa kilimo kati ya China na Kenya, baada ya miaka mingi ya kuona mazao yake yakiharibika...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea yule sheikh alimuita chizi na watu wamuondoe.
Hii ni kwa Afrika ambapo mambo kama sayansi na...
Kila mara Marekani inaposhindana na China kwenye vita vya kiuchumi na kiteknolojia China inakuwa na karata za ushindi dhidi ya Marekani.
Hasa kupitia uwezo wake wa kusafisha na kuchakata (processing/refining) madini muhimu yanayotumika kwenye teknolojia, silaha, magari ya umeme, na vifaa vya...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto.
Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
Tunajua simu zetu zinakuja na apps ambazo haziwezi kufutika sio 😂, Sasa 2026 bhana hakuna kinachoshindikana aiseeh.
Leo nakupa app inayofuta kila kitu kwenye simu yako haijalishi hiyo app imekuja na simu au umeikuta tu hata zile ambazo ume download zinakataa kufutika ila kupitia hii apps...
Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio 🫢.
Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa.
Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu.
Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae 👋.
Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani.
Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku...
Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router.
Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana.
MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ?
Vitu vimewekwa...
Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari leo baada ya kuondolewa zuio la kutofanya siasa, Aprili 15, 2026 amesema kuwa Bila Teknolojia tusingesikika kokote kule, tunashukuru Teknolojia ilitufanya tuendelee kusikika maana tulikuwa tunajirekodi na kurusha mitandaoni. Nguvu ya Teknolojia ni...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu.
Naibu Waziri ameeleza...
TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA.
Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa watumiaji wa usafiri wa Umma pale kunapotokea mabadiliko ya bei za mafuta Duniani.
Nawaza kwa...
Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.
Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
Kumekuwepo na video kadhaa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, zikionyesha mamba wakitembea mitaani baada ya kutokea kwa mafuriko nchini Australia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.