siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Zamani MWANAMKE akiwa hajitambui nilikuwa namuacha, siku hizi akiwa ajitambui na kuweka kwenye kundi la sex tu.

    Akiwa hana akili simuachi Ila natumia nyeti zake mpaka zitepete Mana mtu unamuelekeza haelekezeki sasa naelekeza nyeti zake. *****
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tiktok live za siku hizi zina lengo gani?

    kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa. Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume. kamatana! shika box la...
  3. F

    JamiiForums Tanzania KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
  4. Right Flower

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi siku hizi ni kama wapo kwenye Tamthilia ya Game of thrones

    Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌 Waliowahi kuiona watanielewa😂 Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
  7. R

    JamiiForums Tanzania TanzLII imekuwa kero sana siku hizi. Haifunguki

    tatizo ni nini? haifunguki ikifika kwenye kuhakiki you are not a bot! Kila sectors ni laana. sasa na hii imekuja kwenye laana .ya kuwa uselessness!
  8. Vien

    JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Yale tuliyopaswa kumuuliza Roho Mtakatifu, siku hizi watu wanaiuliza AI. Je huku ndio kumkufuru Roho Mtakatifu?

    Nini tofauti kati ya AI na nafasi ya Roho Mtakatifu?: 1. Asili ya Kiungu dhidi ya Mashine Roho Mtakatifu: Ni Mungu hai, mwenye hisia, mapenzi, na uwepo wa milele. Yeye ni Nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu. AI: Ni programu ya kompyuta iliyotengenezwa na binadamu. Haina uhai, haina roho, na haina...
  10. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  11. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CO wengi siku hizi ni watupu na uwezo chalii?

  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
  13. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawavai bra (sidiria) hasa wale wenye manyonyo makubwa

    Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawaitaki CCM

    Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM. Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
  15. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

    Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako. Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

    Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
  18. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Siku Hizi Wanaingia kwa Merit au Kufahamiana?

    Katika jamii nyingi za leo, swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni kama viongozi wanaochaguliwa au kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali wanaingia kwa sababu ya uwezo wao halisi au kwa sababu ya kufahamiana na watu wenye nguvu. Hoja hii imeibua mijadala mikubwa hasa pale wananchi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea siku hizi?

    Hija katika Uislamu Hija ni nguzo ya tano ya Uislamu. Ni ibada takatifu inayomuwajibisha kila Muislamu mwenye uwezo wa kiafya na kifedha kusafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kutekeleza taratibu maalum ndani ya Mwezi wa Dhul-Hijjah, angalau mara moja katika maisha yake. 🕋 Misingi na Utekelezaji...
  20. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
Back
Top Bottom