mbinu

 1. B

  CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

  Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
 2. Zogoo da khama

  Mbinu mpya wanayotumia matapeli wanaotuma meseji

  Habarini za asubuhi, Wale jamaa zetu wa "tuma kwenye namba hii" kisha wakaja na kauli mbiu yao ya "Mimi mwalimu mtoto wako ameanguka ghafla tunaomba utume pesa kidogo ya kusaidia matibabu ya haraka huku ukijiandaa kuja" wamekuja na kauli nyingine isemayo: " Habari yako? Mimi mwenye nyumba wako...
 3. Meneja Wa Makampuni

  Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

  Wakuu, Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi. Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni...
 4. Naantombe Mushi

  Nisaidieni mbinu za kupambana na huyu jirani 'mwizi wa umeme'

  Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha. Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku...
 5. Erythrocyte

  Video: Mbinu za Kimila za kuiangusha Kaizer Chiefs zaanza kutumika

 6. Krav Maga

  Ukiwa hujaalikwa Eid na unataka Kutengeneza Mazingira ya Kualikwa ili ukale Pilau la bure utumie mbinu gani?

  Vyakula ndiyo vinaanza Kupikwa sasa tafadhali wengine hatujaalikwa ila kuna sehemu kadhaa dalili zote za Pilau zinajionyesha je, tutumie Mbinu gani ili tulazimishe Kualikwa? Kama sijaalikwa Leo au hata sijatengeneza Mazingira ya Kualikwa Mchana wangu na Jioni yangu naona itakuwa mbaya na...
 7. K

  Waziri wa Maji, Mbinu hizi za ulaji chini ya Wizara yako unazijua?

  Kama Kuna zoezi gumu na linaweza kuitia hasara serikali nikushindwa kusimamia suala la taasisi zinazosimamia maji nchini. Taasisi hizi zihujumu huduma ya maji kwa njia zifuatazo; 1. Ukiomba kuunganishiwa maji upati msaada huo au utaambiwa subiri mradi utakuja ufike kwako, lakini ukizungumza na...
 8. M

  Mbinu yangu yaelekea kufanikiwa

  Wanajamvi wiki kadhaa zilizopita niliwaelezea mazingira magumu nilioyapata baada ya mzazi mwenzangu kupata mwenza nakuniwekea vizingiti vya mawasiliano akitaka niwasiliane na yeye(mume) kwa ishu zinazohusu mtoto kitu ambacho sikuridhika nacho Nlichokifanya nilimpigia simu mama mtoto...
 9. MIMI BABA YENU

  Dodoma: Spika Ndugai awapa mbinu CHADEMA ili awafukuze akina Halima Mdee

  Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho. "Aandike barua...
 10. Countrywide

  Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

  Ukweli mchungu. Watu wengi wanatamani Sana kuwa matajiri lakini hawajui mbinu gani zinatumika. Sisemi matajiri wote walikuwa mabahiri, la hasha Ila kikwetukwetu hii mbinu ya ubahili ndio njia nzuri ya kuelekea kuwa tajiri. Ubahili nachukulia Kama kitendo Cha kutotumia pesa kwenye matumizi...
 11. C

  Naomba kujuzwa mbinu za kutumia ili kupata mafao yako haraka baada ya kustaafu

  Habari zenu wakuu? Naomba tusaidiane namna bora ya mtu kupata mafao yake kwa haraka maana kuna mzee wangu amestaafu ualimu tangu January mwaka jana na mpaka leo anafuatulia mafao yake bila mafanikio. Kila akienda mkoani hapo Kibaha anapigwa sound file halijatoka, mara Email haijasomwa yaani...
 12. tashwishwi

  Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

  Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi. Back to the topic Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana...
 13. Red Giant

  Mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao

  Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk. Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
 14. Miss Zomboko

  Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la Hisabati

  Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu. Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha baadhi ya mada katika somo hilo. Pia ili kuboresha ufaulu wa somo hilo watachapa na kusambaza vitabu...
 15. Kifurukutu

  Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

  Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
 16. TEAM 666

  Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

  Hello JF, Moja kwa moja kwenye bandiko Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja. Hivyo kutokana na biashara...
 17. Mzanzibari Huru

  CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

  Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
 18. Mjina Mrefu

  Tujuzane kuhusu biashara ya Stationary, Mbinu, faida na hasara

  Wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara. Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara. Asante ni.
 19. ROBERT HERIEL

  Mbinu za kutokuchepuka kwa karne ya 21 - 22

  MBINU ZA KUTOKUCHEPUKA KWA KARNE 21 - 22 Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Ikiwa wewe ni mvivu soma kwa urefu wa kamba za akili yako. Hakuna mtu mwenye akili timamu, muadilifu na aliyestaarabika anayependa kuchepuka. Ni wazi kuwa kuchepuka ni ishara ya mtu kujidharau, kujidhalilisha, kumuasi Mungu...
 20. MK254

  Watanzania wameshauriwa kuondoa hicho kituko cha nyungu kilicho Muhimbili na waanze kufuata mbinu za sayansi

  Kuna huyu mbunge wa Tanzania ambaye ni CCM kindakindaki anayeitwa Hamis Kigwangalla, ameshauri waondoe hicho kitu walichoweka kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili na kuanza kukumbatia mifumo na mbinu za kisayansi ili kukabiliana na corona. Inachekesha sana maana hawa waliimba sana mapambio...
Top Bottom