william ruto

William Kipchirchir Samoei Arap Ruto (born 21 December 1966) is a Kenyan politician. Currently, he is the Deputy President of Kenya, a position he has held since 2013. He served as the Acting President of Kenya between 6 and 8 October 2014 when President Uhuru Kenyatta was at the International Criminal Court (ICC), in the Hague, Netherlands. He previously served in various ministerial positions, including the Ministries of Home Affairs, Agriculture, and Higher Education Science and Technology. He was the Secretary General of the Kenya Africa National Union (KANU), the former ruling political party, and the MP for Eldoret North Constituency between December 1997 and January 2013. He won the seat in the 1997 elections after defeating Reuben Chesire. He was appointed to the position of Assistant Minister in the Office of the President by President Daniel arap Moi in 1998. He was promoted to be Minister for Home Affairs in August 2002. Ruto has also previously served as the Chairman of the Parliamentary Select Committee on Constitutional Reform in the 9th Parliament.
On 4 March 2013, he became the first Deputy President of Kenya, when he and Uhuru Kenyatta were declared winners of the 2013 Kenyan general election. The duo ran on a Jubilee Alliance ticket. The Jubilee Alliance was a coalition of his United Republican Party (URP) and Kenyatta's The National Alliance.
Ruto was among the list of people who were indicted to stand trial at the ICC for their involvement in Kenya's 2007/2008 political violence. However, the ICC case was faced with challenges especially concerning withdrawal of key prosecution witnesses. In April 2016, the Court dropped charges against Ruto.In the August 2017 General Elections, Uhuru and Ruto were declared victors after garnering 54% of the total votes cast. However, the Supreme Court of Kenya nullified the election and a fresh election was held in October 2017. The opposition boycotted the fresh election and Uhuru and Ruto were re-elected with 98% of the total votes cast. The Supreme Court upheld the results of this second election.In December 2018, Ruto graduated from the University of Nairobi (UoN) with a on environmental quality of riparian ecosystems: A case study of Saiwa Swamp watershed, Western Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Masikio Masikio

    Maajabu ya Afrika ni pale kiongozi anachaguliwa halafu yuko bize kuwatafutia kazi wananchi wake nje ya nchi

    Afrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi halafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu. Kuna muda nikiwaangalia viongozi wa Afrika unaonea huruma wananchi maskini ambao ni wahanga wa kudanganywa...
  2. Kingsmann

    Rais Ruto anavyopita njia ya Uhuru kwa Gachagua

    Ni kama historia inakwenda kujirudia kwenye siasa za Kenya. Ilianza kwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto kiasi cha kuharibu mambo kuanzia ofisini, kwenye kampeni na hata baada ya uchaguzi uliomuweka Dk Ruto madarakani. Kwa sasa ni zamu ya Ruto tena na Naibu Rais wake, Rigathi...
  3. K

    Ruto anaenda New York kuleta wawekezaji Rais Samia anaikimbia Chadema yuko Ruvuma

    Kuna mazuri mengi sana ya demokrasia pamoja na kupigwa watu wanaishi pamoja kwa raha na kujali nchi. Raisi wetu imebidi amtume Majaliwa kwasababu ya kuogopa maandamano huko NY. Mwenzake mfano Ruto wiki chache zimepita ameshaingia mkataba tena na German ambao tuna uhusiano nao wa kupeleka...
  4. W

    Rais Ruto adai hana taarifa zozote kuhusu watu waliotekwa nchini Kenya

    Akizunguza Agosti 29, 2024 katika kikao na Wananchi, Kisumu Rais Ruto amesema hana taarifa ya mtu yeyote aliyeripotiwa kutekwa na vyombo vya usalama vya nchi wakati au baada ya maandamano ya hivi karibuni ya kupinga serikali kote nchini. Aidha amehimiza wananchi ambao ndugu au marafiki zao...
  5. Lady Whistledown

    Mwanaharakati afichua Miradi Mfu na Hewa ya Rais Ruto

    Mwanaharakati afichua Miradi Hewa ya Rais Ruto Wakili na Mwanaharakati wa Uwajibikaji, Morara Kebaso alianzisha ziara ya kitaifa ili kukagua Maendeleo ya Miradi iliyoanzishwa na Rais William Ruto Lengo likiwa ni kuthibitisha hali halisi ikiwemo utendaji kazi wa Miradi ambayo Rais amezindua...
  6. Teko Modise

    Rais Ruto anafanya ziara ya kuwatembelea wakenya majumbani kwao

    Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao. Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake. Ingekuwa bongo, tungeambiwa hao wote pichani ni TISS
  7. JanguKamaJangu

    President William Ruto Names Second Batch of The Cabinet

    Ruto Names Second Batch of The Cabinet President William Ruto: The government will provide all necessary support for those affected by protests. ✅President Ruto: Police officers, their prison counterparts and other security agencies officers will start receiving salary increments this month...
  8. Ikaria

    Rais William Ruto atangaza Baraza Jipya la Mawaziri 11 na Mwanasheria Mkuu mpya

    Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini: • Waziri wa Ulinzi Adan Duale • Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
  9. JanguKamaJangu

    Uteuzi mpya wa Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais William Ruto

    President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya. Mwanasheria Mkuu - Rebecca Miano ( kabla ya kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri alikuwa waziri wa Biashara)...
  10. M

    Ruto aachie ngazi kulinda uhai wa Wakenya

    1. Kutokubalika kwa sera zake za Kodi mpya kila kukicha na mauaji yanayoendelea ingefaa Dkt. Ruto apumzike kupisha uchaguzi Mkuu mpya. 2. Kenya inastahili Rais mpya mwenye maono na Sera mpya. 3. Kuendelea kushupaza shingo. Ni kuruhusu mauaji zaidi na mdororo wa uchumi
  11. Tlaatlaah

    Rais William Ruto ni mwanasiasa kiongozi, mwenyewe kipaji maalum na maono ya kiutawala

    Kivyovyote vile utakavyo muona kwa suru au kumsikiliza kwa maskio anachosema matokeo au hitimisho lake kwako, ni kwamba utamuamini na utampenda tu, ndivyo alivyo. Na hiyo ni Neema, Baraka na karama ya kipekee sana aliyojaliwa na Mungu. Hana hofu, kiburi, ubishi, majivuno wala ubinafsi...
  12. M

    Raila retreats from Ruto deal amid backlashes

    Proposed political deal with President William Ruto, as his coalition partners reject the plan for a government of national unity. Wiper party leader Kalonzo Musyoka has joined other Azimio la Umoja principals in firmly rejecting the planned national dialogue, throwing a wrench into Ruto's...
  13. Tlaatlaah

    Baada ya kuwatuliza Gen Z, mfalme wa siasa za Kenya Dr. William Ruto aanza tena siasa za majukwaani na ni dhahiri atashinda tena Urais 2027

    Washirika wake wa chama chake cha UDA na Muungano wa KENYA KWANZA maseneta, wabunge na magavanor bado wanamuona ni mtu pekee na muhimu zaidi katika kuwaunganisha wa Kenya na kuwaletea maendeleo endelevu katika maeneo yao. Wana Imani nae sana licha ya vijana kutaka ang'atuke mamlakani. Sambamba...
  14. FRANCIS DA DON

    Rais William Ruto wa Kenya afanyia kazi ushauri aliopewa JF ili kujinusuru

    Na hii ndio mbinu aliyoitumia JPM, badala ya kuwabebesha wananchi mzigi mkubwa wa kodi, serikali zinapswa kuacha kununua mashangingi mapya na fenicha za maofisini kila mwaka, badala yake yafanyiwe tu ukarabati.., pia kubana uchezeaji pesa kwenye warsha, semina na safari za nje zisizo na tija..
  15. BARD AI

    Tetesi: President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle

    President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle which will result in the abolition of about seven ministries. A front-page publication by a local media house citing State House sources suggests that the current 22 ministries will be reduced to 15 in the...
  16. Z

    Ruto: Wakenya wengi walioandamana hawajui yaliyomo kwenye Muswada wa Fedha

    Alipokuwa akihojiwa jana tarehe 30/6 na waandishi wa habari, Rais Ruto alisema japo amekubali kuondoa na kutokusaini Finance bill hiyo lakini anasikitika sana kwani bill hiyo ilikuwa na manufaa makubwa wa wakenya wote na ililenga kuikomboa kuingia kwenye madeni makubwa. Alisema kuwa Wakenya...
  17. BLACK MOVEMENT

    Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

    Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna kosa sana Watangazaji aina ile. Watatangazi wetu ni weupe sana hata aina ya vipindi vyao tu ni...
  18. J

    Gen Z: Ruto umepoteza Uhalali wa Kuongoza, Jiuzulu

    Sasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu Nimeogopa sana 🐼
  19. S

    Mahakama ya Upeo Kenya yachomwa moto

    Waandamanaji Kenya wamechoma mahakama ya ya Rufaa. Yaani wameamua kushambulia mihimili yote kuanzia Serikali, Bunge na sasa mahakama Inatisha. Pia soma===> News Alert: - Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia
  20. Analogia Malenga

    Ruto: Nilitumia pesa kidogo kwa ziara yangu ya Marekani

    Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi wa mfano na mjadala huo lazima ukome. ==== Pia soma: Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa...
Back
Top Bottom