vifaa

 1. R

  Soko la vifaa vya kielectronic vya mtumba

  Habarini za majukumu! Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk. Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
 2. mchichapori

  Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

  "Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran. Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui...
 3. Analogia Malenga

  Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

  JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
 4. TANESCO

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1.ENEO HUSIKA (Mnaweza...
 5. J

  Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

  Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
 6. manyonga

  Uvccm Kagera watoa vifaa kwa ajili ya mapambano ya Covid-19

  _*UVCCM KAGERA WAUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA CORONA*_ Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Ndg.HAPPINESS RUNYOGOTE pamoja na wajumbe wa Baraza kuu mkoa wa Kagera leo tarehe 21/05/2020 wameunga mkono juhudi za Mh Rais katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
 7. GUSSIE

  Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

  Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
 8. P

  Biashara ya vifaa vya ushonaji...

  Wandugu salaam! Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara. Nawasilisha.
 9. Victoire

  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

  Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
 10. M

  Mgao wa vifaa vya kinga ya COVID 19 unafikirisha

  Nimesoma recent tweet ya Kigogo "mgao wa vifaa vya kinga ya corona". Nimeshindwa kuelewa kwanini mkoa mmoja mdogo anapotoka bwana mkubwa umepewa upendeleo? Tunarudi nyuma sana. Tafuta recent tweet ya Kigogo uone mwenyewe.
 11. Influenza

  Serikali: Tayari tumetoa Tsh. Bilioni 15.49 kwa ajili ya CoronaVirus na tumesamehe kodi kwa baadhi ya vifaa vya kujikinga

  Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema Serikali iliunda timu ya Kitaalamu inayochambua jambo hili kiumakini, na kipaumbele cha Serikali ni kukinga watohuduma za afya na Wananchi Amesema kwa makadirio ya awali katika kipindi cha Machi hadi Septemba mwaka huu zinahitajika Tsh. Bilioni 382.5 kwa...
 12. J

  Vifaa Vya stationery vinauzwa bei nafuu mno

  Habari wakuu, Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo 1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000) 2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000 3.laptop ya hp - 300,000 4. Min laptop bytespeed (haikai na chaji,utabadili battery) - 120,000 5.Printer - 60,000 6...
 13. MakinikiA

  India yakataa vifaa vya kupima virusi kutoka China

  Vifaa hivyo vilitarajiwa kugundua antobody katika damu ya wagonjwa wa virusi vya corona India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''Vina dosari''. Mji wa Delhi pia umeondoa vifaa ambavyo tayari vilikuwa...
 14. Roving Journalist

  Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

  Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
 15. OKW BOBAN SUNZU

  MAT wakanusha taarifa za kuridhishwa na upatikanaji wa vifaa-kinga

  Gazeti kada la Habari Leo lilitoa propaganda kuwa madaktari wameridhishwa na utolewaji wa vifaa-kinga kwa wahudumu wa afya. Propaganda hiyo imekanushwa na rais wa MAT Dr. Elisha. Tunaisisitiza serikali na wadau kuelekeza nguvu kwa wahudumu maana wameanza kukimbia wagonjwa. Wahudumu wanahitaji...
 16. beth

  Wanandoa waliokamatwa kwa kuongea uongo kuhusu Corona wafikishwa mahakamani, waachiwa kwa dhamana

  Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
 17. Erythrocyte

  Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga amwaga misaada ya mamilioni jimboni. Vimo vifaa vya kuzuia Virusi vya Corona

  Hakika Kutoa ni moyo tu na wala si utajiri. Wakati Wabunge wengi wa CHADEMA wakijitokeza wazi wazi kusaidia wananchi, wabunge wa chama kimoja wameanza kulogana na kubambikiana kesi wakigombea majimbo akiwemo mmoja ambaye jimbo la DSM limemshinda na kukimbilia Mkoa wa Mara ambako hata hivyo hana...
 18. ChoiceVariable

  Tahadhari ya COVID--19,Mtaani watu hawachukui tahadhari yoyote huku vifaa vya kunawia vimewekwa ili kuhadaa mamlaka

  Poleni na harakati za kukabiliana na Covid19 Kusema ukweli hali ya maisha mitaani hasa huku niliko,i mean mkoani hakuna tahadhari yoyote ya maana watu wanachukua,mikusanyiko iko palepale na shughuli zinaenda kana kwamba hakuna hatari yoyote. Vifaa vya kusafisha mikono vimewekwa na watu ili...
 19. Sangoma

  Msaada wa vifaa vya ufundi simu upande wa hardware

  Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
 20. S

  Israel: Visa vya corona vyafikia zaidi ya 10,800, vifo zaidi ya 100; Uhaba wa vifaa vya kupimia watawala

  Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
Top Bottom