mikusanyiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
  2. Nyafwili

    Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

    Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa. • Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au...
  3. matunduizi

    Fanya haya kuongeza thamani ya ibada yako katika mikusanyiko ya kiroho

    1: Ingia kwenye ibada ukiwa na ajenda. Usiende kwa sababu watu huwa wanaenda. Jitahidi uwe na hoja na ajenda siriasi ukizopanga kuwasilisha kwa Mungu wako. 2: Usipende kukaa nyuma au mwisho. Ili kuwa mzingativu jitahidi ukae kuanzia siti za katikati kuelekea mbele kwa mnenaji. Usiulize nyuma...
  4. JanguKamaJangu

    Marekani: Polisi watakiwa kujiandaa kwa mikusanyiko ya wafuasi wa Trump

    Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa za wafuasi wa Trump kuingia mtaani kupinga mashtaka atakayofunguliwa. Trump amefunguliwa...
  5. MSAGA SUMU

    Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

    Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa. Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe...
  6. BigTall

    Mikusanyiko ya kidini yalaumiwa kwa kuenea kwa Surua Zimbabwe

    Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai mikusanyiko ya kidini imesababisha kuongezeka kwa maambukizi. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, wizara hiyo katika taarifa imesema kwamba mlipuko huo sasa...
  7. L

    Ujerumani kusafirisha mikusanyiko 23 ya sanaa kwenda Namibia

    Huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, mkuu wa Wakfu wa Urithi wa Prussian Bw. Hermann Parzinger, na Esther Moombolah wa Makumbusho ya Kitaifa ya Namibia walionyesha sehemu ya mkusanyiko wa sanaa za Namibia kutoka Jumba la Makumbusho la Berlin, 23 kati yao itasafirishwa kwenda Namibia.
  8. K

    OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  9. dexterous

    Hii tabia ya uvutaji wa sigara ovyo ikomeshwe

    Wasalam Iko hivi kuna tabia/mazoea kwa wavutaji wa sigara wanaovuta sigara kiholela barabarani na sehemu zenye mikusanyiko ya watu bila kujali afya za watu wengine Embu fikiria uko njiani unatembea mbele yako kuna mtu anavuta sigara na ule moshi anaoupuliza wote unawarudia mliokuwa nyuma yake...
  10. FRANCIS DA DON

    Serikali imesema vaeni barakoa, epukeni mikusanyiko, halafu hiki ndicho walichofanya Dodoma kwenye uzinduzi wa uhamasishaji Sensa.

    Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa. Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼 =================================...
  11. T

    CHADEMA wamekatazwa kukusanyika lakini mikusanyiko ya viongozi wa CCM inaendelea

    Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao wanakusanyika Je na CHADEMA waendeleze mikusanyiko yao ya kutoa elimu ya katiba mpya na CHADEMA digital...
  12. kavulata

    #COVID19 Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  13. B

    Harufu ya zuio la Mikusanyiko ikiwamo Mahakamani linanukia

    Ile tarehe yetu inapozidi kujongea harufu ya zuio la Mikusanyiko nayo inazidi kunukia. Bila shaka tukataarifiwa huko mahakamani kuwa kama Tokyo 2021. Olympic bila mashabiki angalau kwa wiki hii ili kudhihibiti maambukizi ya Corona. Shit hole countries kila jambo ni fursa. Yakisikika hayo miye...
  14. MEXICANA

    #COVID19 CDC: Waliochoma chanjo ya Corona wavae barakoa katika mikusanyiko ya ndani

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
  15. Shujaa Mwendazake

    Waziri Simbachawene acha maigizo, mpe IGP muongozo wa COVID-19 na dhana ya Mikusanyiko

    PICHA: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo. Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani aache hizi Comedy, Ni...
  16. Rufiji dam

    Serikali kupitia wakuu wa mikoa wapiga marufuku mikusanyiko. Vipi Makamu wa Rais na ziara yake Mtwara?

    Sasa hivi ni matamko tu ya wakuu wa Mikoa kupinga mikusanyiko ya watu. Nimeshangazwa na taarifa kuwa Dkt. Mpango ana mpango wa kufanya ziara ya kiserikali Mtwara. Swali: Je, huko anaenda kuhutubia miti ya mikorosho ama anaenda kuhutumbia mkusanyiko wa watu. Delta namba 3 ipo.
  17. Shujaa Mwendazake

    #COVID19 Serikali itoe mwongozo wa kuainisha ipi mikusanyiko ya lazima na ipi ni mikusanyiko isiyokuwa na lazima

    Habari wanajamvi, Kuhusiana na janga hili la Corona sasa tumeanza kujionea tena kuwa kila kiongozi wa sehemu anapiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Lakini ukiachilia mbali hili pia tunajionea kuna mikusanyiko inaendelea lakini inahisiwa siyo ya lazima. Sasa kumekuwa na Mkanganyiko...
  18. Informer

    #COVID19 Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  19. mwanamwana

    #COVID19 Kagera: Mkuu wa Mkoa apiga marufuku mikusanyiko isiyo lazima ili kukabiliana na Corona

    Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kasi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Meja Jenerali Mbuge amesema hatua hiyo inatokana na mkoa wa Kagera kupakana na nchi nne...
  20. Miss Zomboko

    Mwanza: RC apiga marufuku mikusanyiko isiyo ya lazima

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima Mkoani humo ili kudhibiti Maambukizi ya #COVID19 Mhandisi Robert amesema misiba tu na ibada ndiyo itaruhusiwa kuwa na Watu. Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali ndani ya Mwanza."
Back
Top Bottom