Al-Mamlaka (Arabic: المملكة, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.
Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua hiyo inavyoweza kuathiri siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Tanzania Bara.
Mjadala huo...
Wafanyakazi wa Halotel Tabora tunakabiliwa na mazingira magumu ya kazi, ambapo tunafanya kazi hadi nyakati za usiku na hata Jumapili, lakini hakuna malipo ya muda wa ziada (overtime).
Tunaelekezwa kutembelea maeneo ya kazi (sites) katika wilaya nzima bila kupewa usafiri wala malazi...
Anonymous
Thread
binafsi
halotel
katika
mamlaka
sauti
tabora
wafanyakazi
Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
Anonymous
Thread
afya
hatua
janga
kabla
katika
mamlaka
mpya
nchini
sura
tishio
tishio kwa afya
vijana
viroba
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu.
Kauli hiyo imetolewa leo na Msemaji wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, wakati akijibu swali la mwandishi wa...
Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha.
Je, mamlaka husika hazioni changamoto hii? Ni muhimu hatua zichukuliwe ili kuhakikisha matuta hayo yanawekwa...
Anonymous
Thread
ajali
bila
chang'ombe
eneo
kufuata
makaburini
mamlaka
matuta
mbaya
wananchi
Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu.
Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kati
mamlaka
mbili
mkalama
mpya
swala
walimu
walimu ajira mpya
Ukifuatilia Historia utagundua himaya na tawala maarafu huanzia au hujikita pwani katika bahari, maziwa na mito mikubwa.
Watu wa Pwani mara nyingi ndio huwa chanzo cha civilization, tawala na himaya. Majiji huanzia pwani, kikawaida tu watu wa Pwani huwa wajanja zaidi kuliko watu wa bara.
Hata...
Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka.
Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Ndugu Patrobasi Katambi ametoa amri kwa baadhi ya watu (wanaodhaniwa kuwa wametenda makosa ya jinai) kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili.
Baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Patrobas Katambi...
Hapo VIP!
Hili ni jambo ambalo nimefanyia utafiti muda mrefu kiroho Na kimwili Na nimejiridhisha pasipo shaka.
Ni kweli sio kila mwenye mamlaka au chenye mamlaka hustahili mamlaka Yale.Hutokea kitu au mtu wa ovyo Na mwenye akili au ufahamu wa chini Na wa ovyo akawa Na mamlaka Fulani.Na...
Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video
Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria...
Wanaukumbi.
Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.
Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria...
Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya...
GT
Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop.
Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya.
Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
KUOMBA KWA MAMLAKA.
Utangulizi
Maombi ni kitu cha ajabu sana. Kwa maana kupitia maombi yale yasiyowezekana yanawezekana. Lakini nataka nikutazamishe siri fulani hivi ya maombi, kwamba mwombaji akiomba kwa mamlaka ya Kristo dhidi ya chochote,miujiza hutokea
Kuna kuomba nje ya mamlaka na kuna...
Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
Ndugu zangu Watanzania,
Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.