TAARIFA KWA UMMA
DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE.
Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE
Usibofye.
Usishiriki.
Usitume pesa.
Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa...
Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imezidi kuimarika Tanzania ikitajwa kushika number 6 barani africa. Pamoja na mafanikio yanayoweza kupatikana kwa uwekezaji na kodi , biashara hii inatakiwa kufanywa kwa tadhari na udhibiti. Kikawaida michezo hii haipaswi kuchezwa na watoto under 18 lakini...
Jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi operesheni ya kuondoa spika za matangazo ya biashara zinazotajwa kusababisha kelele katika maeneo mbalimbali ya biashara, hususan Kariakoo, kwa lengo la kurejesha utulivu na kuboresha mazingira ya wafanyabiashara pamoja na wanunuzi. Hatua hiyo inalenga...
Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako
Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya
Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk
LAKINI
Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri.
Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma.
Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
Rafki mpendwa
Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk
Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua
Twende pamoja
Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye
Ushawishi kwa sababu Binadamu...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imeanza kufuatilia kwa kina malalamiko ya wananchi kuhusu matangazo ya huduma za massage yanayosambazwa mitandaoni, hususan Instagram.
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kuwa hatua hiyo inakuja baada ya...
Wabillahi taufiq,
Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money.
Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca.
Sijawahi kuona...
Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika
Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa
Baadhi ya watu katika community za India...
Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika
Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa
Baadhi ya watu katika community za India...
Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi.
Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV.
Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco.
Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu.
Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili.
Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa.
Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya.
Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.