wanahabari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tindo

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa wanahabari Star Tv chini ya Chief Odemba

    Mdahalo mkubwa Star TV wakijadili kalamu ya waandishi wa habari, yumo Khalifa Said, Balile na Neville Meena. cc paskali mayalla
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake. Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana. Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule akitoa taarifa zinazomhusu huyo Nchimbi. Vilevile, sijasikia wala kuona chombo chochote kile cha habari...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nani anampatia Mwaipopo mshiko wa kuwagawia wanahabari kwenye Press Conference zake?

    Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe na Oscar Oscar (Wasafi Media): Alama ya Uandishi wa Habari inayotupeleka kuzuri

    Wana-JamiiForums, Kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania, hususan vipindi vya asubuhi, bila shaka utakuwa umekutana na kipindi cha 'Jana na Leo' kinachorushwa na Wasafi Media. Kipindi hiki kinaongozwa na nguli wawili wa tasnia ya habari na uchambuzi nchini: Edo Kumwembena...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

    Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Ithibati fuatilieni Taasisi za Wanahabari (Press Clubs), Waandishi wengi ni “Makanjanja” hasa Mara

    Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania ACT wanazungumza na Wanahabari, leo Septemba 6, 2026

    https://www.youtube.com/live/l9aMozamc9E?si=Uzp7jrGfBn-D6-UJ
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mhariri Alex Kiprotich atekwa na kupatikana salama: Wasiwasi waibuka kuhusu usalama wa Wanahabari

    Mhariri wa Standard Group, Alex Kiprotich, alitekwa usiku wa Jumanne, Septemba 1, 2026, akiwa safarini kuelekea Nakuru kupitia barabara ya Gilgil–Nakuru. Kiprotich alipiga simu kwa mkuu wa usalama wa Standard Group akisema gari lao lilikuwa limezuiwa na watu wenye silaha, kabla ya mawasiliano...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanahabari Wawili Washambuliwa Homa Bay, Vurugu Zazidi Kabla Ya Mkutano Wa Linda Mwananchi

    Hali ya wasiwasi imeongezeka Homa Bay huku maandalizi ya ziara ya Linda Mwananchi yakizua mvutano katika mji huo. Wanahabari wawili wa AFP, Fred Ooko na Brian Ongoro, walishambuliwa na kundi la vijana waliokuwa na silaha walipokuwa wakiripoti hali ya usalama katika mji wa Homa Bay. Kwa mujibu...
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanahabari: Ni marufuku kusema, "kijana na binti..."

    Nijuavyo kijana anaweza kuwa wa kike au wa kiume. Hivyo, ni marufuku kusema, "kijana na binti...", kutaka kulazimisha binti asiwe miongoni mwa vijana! Mara utasikia, "kijana ambaka binti...". Vijana waaswa kutooa mabinti wenye watoto..." "Binti usitikise sana makebo upitapo mbele ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wanahabari Kuelekea Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Afrika50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, 2/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=hCEd0tdpyNQ
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Chakechake, Zukhra: Wanahabari acheni woga, andikeni habari zenye tija

    Waandishi wa Habari wametakiwa wasiwe waoga bali waendelee kuandika habari zenye ukweli na zenye kuzingatia maadili, ambazo zitaleta maslahi kwa Umma. Nasaha hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake, Zukhra Mgeni Othman wakati akizungumza na wandishi pamoja na wadau wa habari katika...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wetu bure Kabisa nilitegemea leo kuamkia kwenye Offce ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu kauli ya Chatanda Kimya

    Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari ni masikini

    Wakati akizungumza katika maandimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari wenyewe ni masikini Freedom tunayopigania ni lazima iendane sambamba na mapambano ya kujenga uchumi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande azungumza na Wanahabari Aprili 28, 2026

    Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi. Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kipa wa Yanga, Diarra kuwaonesha Wanahabari kidole cha kati , imenikumbusha Chuji alivyofanya hivyo akafungiwa

    Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea katika basi ili kuondoka kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya matokeo ya sare ya 1-1 dhidi ya Mtibwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
Back
Top Bottom