Sisi walimu tuliomaliza mafunzo ya ualimu ngazi ya Astashahada miaka iliyopita, baadaye tukaamua kujiendeleza hadi ngazi ya Shahada, tunaomba ufafanuzi kuhusu changamoto inayotukabili katika ajira.
Tulishiriki usaili kwa kutumia vyeti vyetu vya Astashahada, lakini wakati wa upangaji wa ajira...
Anonymous
Thread
certificate
degree
taasisi yaelimu tanzania
vyeti
wizarayaelimuwizaraya vijana
Kumekuwa na malalamiko na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Baadhi ya wadau wa elimu, hususan kutoka Idara ya Elimu Sekondari, wameeleza kutoridhishwa na baadhi ya mwenendo unaodaiwa kuathiri ufanisi wa utendaji kazi...
Anonymous
Thread
bagamoyo
elimu
ofisi
ubora
wilaya
wilaya ya bagamoyo
wizarawizarayaelimu
Wakuu,
Kuna ndugu yangu wangu la 7 ndo anarudi shule leo karudi saa 1 usiku. Muda wa kutoka shule ni saa 10 lakini hawa la 7 wanakalishwa hadi saa 1 usiku
Nilivyouliza kwanini wanabaki hadi muda huo nimeambiwa wanasoma masomo ya ziada ili kujiandaa na mtihani wa taifa. Lakini kwenye kubaki...
Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli?
Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
Barua iliyosambazwa kuhusu kufungua Shule si sahihi ipuuzwe. Tunaomba Wadau wazingatie Kalenda ya Mihula ya Masomo kulingana na Waraka wa Elimu Namba 06 wa Mwaka 2025 ambao umeambatishwa.
Mwalimu anafanya kazi kituo kimoja mpaka anafanana na wanakijiji akiomba kuhama anaambiwa watumishi hawaatoshi
1. Huyo mtumishi amekaa kituo kimja zaidi ya miaka kumi, anaomba uhamisho tena anajigharamia mwenyewe na amekizi vigezo vya kukaa kituo kimoja zaidi ya miaka mitano. Hapewi na wakati...
Sisi wanafunzi na wahitimu wa programu za Technical Education in Engineering (Civil, Electrical na Mechanical) katika Mbeya University of Science and Technology (MUST), tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutotambuliwa kitaaluma ipasavyo.
Hali hii imesababisha ugumu wa kuomba na kupata ajira...
Anonymous
Thread
engineering
erb
mbeya university of science and technology
tcu
wahitimu
wizarayaelimu
Wakuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeomba jumla ya Shilingi za Kitanzania Trilioni 2.4 kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake kwa mwaka wa fedha 2026/27. Hii ni moja ya bajeti kubwa zaidi kati ya wizara zote nchini. Tutegemee nini?
Fedha Zitatumikaje?
Bajeti imegawanywa katika...
Habari wana Jamii Forums,
Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu.
Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
Anonymous
Thread
elimu
kero
kulazimishwa
mbovu
serekali
shule
tamisemi
tuition
utaratibu mbovu
wanafunzi
wizarayaelimu
Niliwahi kuleta nyuzi zaidi ya tano ( campaign) hapa JF nikiiomba serikali ifanye marekebisho ya sheria ya kanuni za Adhabu Tanzania ( Penal Code) kwa kushusha umri wa ridhaa ya kufanya mapenzi ( Age of Consent) kutoka Miaka Kumi na nane iliyopo sasa hadi walau miaka Kumi na Sita.
Faida za...
Chuo cha Paradigms institute kilichopo kimara Dar es salaam pale wanaandaa waiting wa hovyo kwenye sector ya afya hasa course ya clinical medicine. Yani wanafunzi wanatajiwa majibu ya mitihani tena mitihani ya afya procedure book zinafojiwa mitihani ya cats ya wodini hawafanyi yani hakuna chuo...
1: Watoto wadogo kabisa wanakatisha usingizi na kuamka saa 11 asubuhi wamejipanga kusubiri school bus. Hapo kurudi ni saa 11 jioni utadhani mzazi katoka kwenye utafutaji. Hapa haijalishi hata kama ni chekechea au darasa la kwanza.
2: Kibaya zaidi ikifika muda wa mitihani ya kitaifa darasa la...
https://harvardea.sc.tz/index.php
Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL.
Hii shule imekuwa na maamuzi ya kibabe kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa watoto wetu. Mwaka jana waliitisha kikao...
DKT. MWIGULU AKUTANA NA PROF. MKENDA NA TIMU YA WATAALAM YA WIZARA YA ELIMU
Waziri Mkuu, Dkt.Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amefanya kikao cha kazi na Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh...
Katika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri umeishia kumuwaza mumewe Mchengerwa na mama yake Samia!
Hivi Wanu atamsaidia Mkenda katika...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeona taarifa potofu kupitia mtandao mmoja wa kijamii kuhusu kutokufungua shule Januari, 2026.
Tunapenda kuutaarifu umma wa watanzania na wadau wote wa elimu kuwa kalenda ya mihula ilishatolewa na Wizara kupitia Waraka wa Elimu Na. 5 wa Mwaka 2025 na...
Wakuu kwema?
Nina swali la kwamba; kwanini baadhi ya vyuo vimehairisha mahafali (graduation)mpaka 2026 kwa wanafunzi wote undergraduate na postgraduate na wamemaliza masomo mwaka huu 2025?
Mfano ni kama ifuatavyo;
a)chuo cha diplomasia (Centre for Foreign Relations) graduation imesogezwa mbele...
Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !!
Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne.
Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia. Wizara itasalia kuwa na Prof. Adolfu Mkenda kama waziri akisaidiwa na Wanu Hafidh.
Pia Soma: Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate).
Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.