Kichwa Cha habari kinajieleza, Huu ni Uzi maalumu nimeufungua mahususi kwa wazee Wa mikopo mitandaoni na kupeana updates za applications mpya zinazotoa mikopo kwa haraka zaidi unapokua na dharura.
Binafsi,
TALA, BRANCH japo Sahivi hawatoi hela
NMB simbanking Huwa nachukua mpaka Milioni moja...
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.
Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.
Anakuambia si rahisi kupata...
Utangulizi
Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika...
Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC hapo juzi ilipitisha mpango wa kuijenga upya Gaza uliasisiwa na mawaziri wa nchi za kiarabu wiki mbilli zilizopita, Katika mpango huo jumla ya dola za Marekani bilioni 53 zitatumika kufanya ujenzi huo awamu kwa awamu.
Miongoni mwa miradi ya ujenzi huo ni pamoja...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuongea moja kwa moja na mteja kupitia mfumo huo mpya wa mawasiliano.
Huduma hii inalenga...
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24.
Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025.
2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo.
3. Wizara ya Fedha inataka mweledi na mwenye...
Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA
Kumbukumbu:
Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo
Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha.
Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji.
Najua mnajua namna gani nchi hii...
Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira.
Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!!
Ni juzi amedai ajira zinatoka kwa uwezo!!!
Ni juzi wasailiwa wametoka na kudai kuwa usaili unajanjajanja...
Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa,
Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale!
Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika.
Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu.
Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
Wakuu,
Nina ndugu yangu ana maabara yake ya kisasa kabisa anauza vitu vya ndani, vyote kama ilivyo, yani ni kuchukua na kuhamisha kila kitu, yeye amehamishwa kikazi.
1. Centrifuge
2. Water Bath
3. Microscope
4. HB Machine
5. BP Machine
6.Weighing Scale
7.Blood collection tubes
8.Autoclave...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.