ubabaishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kubwa sana kwa watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu suala zima la ulipaji wa posho mbalimbali

    Miezi mitatu imepita watumishi hawajalipwa posho zao na hakuna taarifa yeyote juu yao, zaidi kuna matumizi mabaya ya makusanyo ya fedha mbalimbali zinazosababisha watumishi wasilipwe posho zao ikiwemo posho ya usafiri na kodi ya nyumba. Vile vile wanashindwa hata kutoa chai kwenye ofisi husika...
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubabaishaji gani umekutana nao kwenye mahusiano ikakufanya usiendelee kuwa nae au kama ulikuwa unamuhitaji ukaachana nae

    Habari wanajf kipindi namfukuzia manzi ilikuwa ni 2019 hiyo tukakubaliana kabisa tuonane so akaniomba nimtumie nauli nikamtumia ilivyofika muda tulipanga tuonane simu yake ikawa haipatikani baadae kabisa akanipigia akaniambia amepata ajali ya boda boda amepata mikwaruzo na mguu wake haupo...
  3. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF punguzeni ubabaishaji

    Kuna jamaa yangu kanipa mkasa wake kilichomkuta Nssf alipoenda kufuatilia mafao yake. Nimeona niilete humu; Jamaa anasema miezi kadhaa huko nyuma alienda Nssf kwenda kufuatilia madai yake. Wakampa utaratibu wa kujaza. Wakamwabia aende stationary watamsaidia kufungua. Jamaa akaenda stationary...
  4. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Hakuna tena ubabaishaji kwenye utengenezaji wa feed formulas kwa ajili ya mifugo

    Hakuna tena haja ya kutengeneza vyakula vya mifugo usovyojua matokeo yake kwenye ulishaji,mchawi computer,cha msingi unapaswa kujua ingredients zinazotakiwa kwenye utengenezaji wa vyakula vya mifugo,pia ujue viwango vya viini lishen Vya ingridient mojamoja kama...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kati kuna ubabaishaji mwingi, mfano malipo ya ‘Sup’ yamegeuzwa kitega uchumi

    Mimi ni Mzazi wa Mwanafunzi anayesoma mojawapo ya chuo cha Kati Ngazi ya Diploma ya Udaktari, moja ya changamoto kubwa katika vyuo hivi ni matumizi mabaya ya malipo yanayofanyika kwa ajili ya kurudia mitihani ambayo Mwanafunzi amefeli. Ukifuatilia katika mamlaka ya NACTE wao maelekezo yao...
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

    Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog. Me? I’m a...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Bongo kwa ubabaishaji ni sawa na pete na kidole

    Utangulizi; Nchiniki TZ kiongozi anaweza kuamua jambo la umma anavyotaka, mtajua wenyewe mfikiriaje! Hoja kuu; Juzi kati timu ya Singida walizindua uwanja wa kuchezea mpira mzuri tu. Mpaka hatua za kuuzindua maana yake upo tayari kwa matumizi. Cha ajabu, leo Azam Sports wanatangaza kwamba...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Akemea Ubabaishaji na Rushwa

    ULEGA AKEMEA UBABAISHAJI NA RUSHWA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekemea vitendo vya ubabaishaji na rushwa miongoni mwa watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) akisema vinaweza kufuta mazuri yote ambayo taasisi hiyo imeyafanyq na inaendelea kuyafanya. Akizungumza na...
  10. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora? "Ubaya ulipwe na Ubaya" au "Ubaya ulipwe na wema"

    Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama tatu. Sawa, unaamua kusamehe na kusema naachilia yapite , kosa linakuja linajirudia Tena ukipiga...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

    Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni na sheria. “Hatuwezi kuwa na taasisi ambayo kila baada ya muda fulani watu wanajiuzulu, fedha zote...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu. Prof...
  14. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nida na watu wa mitandao acheni ubabaishaji katika suala la kufuta usajili wa namba

    Mbona kusajili mnatuma mawakala mpaka maporini huko wanafika na usajili unafanyika bila mlolongo wowote iweje kufuta namba mpaka mtu afike kwenye duka la mtandao husika? Yaani mnaendekeza faida tu kwa upande wenu bila kujali madhara kwa mteja na jamii yake au taifa kwa ujumla! Kumbukeni baadhi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tsunami kwa mikoa ya Pwani ni ubabaishaji mtupu

    Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha. Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Police General Orders (PGO) ziwekwe hadharani kwa matumizi ya umma

    Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO. Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Miradi ya umwagiliaji ya awamu ya sita ni ya ubabaishaji

    Rais wa awamu ya sita aliahidi kuwa ana lengo la kuweka ekari 500,000 chini ya umwagiliaji. Ni mpango mzuri sana. Ila utekelezaji wake ni kichekesho sana. Nasema hivyo sababu wamejikita zaidi kwenye umwagiliaji wa matone na visima. Umwagiliaji huu hauwezi kutufikisha popote katika kilimo...
  19. safuher

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa haloteli na sms ya 75% ya kifurushi, halotel hawajui mahesabu

    Habari za jioni wakuu,natumai wazima. Nimechoshwa kabisa na hii tabia ya halotel kutuma sms ya kubakisha 75% za kifurushi wakati haujafanya jambo la maana. leo saa nne na robo asubuhi (10: 15) nilijiunga kifurushi cha wiki cha mb 440 kupitia halopesa(megabando). CHa kushangaza saa nne na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TFF acheni ubabaishaji, wapeni watu hela zao

    Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi. Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha walizoambiwa watapewa washindi. Mbali na tuzo walizokabidhiwa siku ya sherehe, washindi waliahidiwa...
Back
Top Bottom