Tasnia ya muziki barani Afrika, hususan wapenzi wa Rumba ya Kongo na muziki wa Injili, imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha nguli Charles Ndombasi Lassa, anayefahamika zaidi kama Carlyto Lassa. Mwimbaji huyu mwenye sauti nyororo kama asali, mtunzi, mpiga gitaa, na mchungaji, amefariki dunia...