1.TRA
2.NSSF
3.PSSSF
4.BOT
5.UDSM
6.DAWASA
7.TANESCO
8.MUHIMBILI HOSPITAL
9.IKULU
10.CRDB BANK
11.TISS
12.Police
13.PSRS
14.NHIF
15.CCM
16.NIDA
17.Wasafi media
18.clouds media
Staff wa hizo taasisi huwa wanajiona kama wanafanya kazi mbinguni vile yani.
Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi.
Kwa...
OFFA YA LEO TU.
Sasa unaweza kuiipatia email ya kampuni yako au biashara tako rasmi kwa Tsh.50,000 tu.
achana na gmail.com
bali utapata domain kama
biasharayako.co.tz na email tako rasmi yaani info@biasharayako.co.tz.
wahi sasa offa hii ni kwa wateja 5 tu.
Email yako utaipata ndani ya masaa...
Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania".
Ningependa kujua hii "Life Tanzania" ni nini na uhusiano wake na TTCL.
Nimeambatanisha kielelezo.
Habari wakuu,
Naomba msaada na ushauri kutoka kwa mtu mwenye uzoefu na NSSF au aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani na nilikuwa nachangiwa NSSF. Kwa sasa kampuni hiyo imefungwa, hivyo siwezi kupata Certificate of Service kutoka kwa mwajiri wangu...
Argentina itawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya kampuni ya nishati ya Israel Navitas Petroleum na makampuni mengine yanayohusika katika uundaji wa hidrokaboni karibu na Visiwa vya Falkland vinavyodhibitiwa na Uingereza, na kuongeza mzozo wake wa uhuru na Uingereza. Waziri wa Mambo ya Nje...
TAARIFA KWA UMMA
AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI
Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju Sokoni Kinondoni Dar es Salaam basi lenye namba T 235 EMJ aina ya Yutong mali ya Kampuni ya Abood...
NDIO 120,000 TU Kama upo miongoni mwa kampuni au biashara hizi
Tour & Safari Companies
Hotels & Resorts
Lodges & Camps
Travel Agencies
Real Estate Companies
Property Developers
Construction Companies
Architecture Firms
Engineering Companies
Law Firms
Accounting & Audit Firms
Insurance Companies...
Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake.
Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika.
Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost.
https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
Halo vip!
Moja kwa moja kwenye mada husika ni hivi nimesuka mkeka wangu.
Na Ila baada ya timu zote kutoa Na walikuwa wananiletea cash out nakaa.
Sasa wameamua kuchana mkeka wangu kwa makusudi.
Ni hivi Luna match mbili nimeweka 1.5 Na match yakwanza imeisha kwa 1-1 Na match ya pili imeisha...
Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia.
Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, wakati wa ziara yake kwenye...
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya nchi inayoitwa Star Employment Service Tanzania.
Nilianza mawasiliano na Mkurugenzi wa kamouni hiyo...
Anonymous
Thread
dalili
employment
kampuni
kutapeliwa
naona
service
Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia.
Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia.
Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.