kikwete

 1. Nsanzagee

  Kauli ya Kikwete uchaguzi 2025 CCM haitaweka mgombea mwingine wa Urais, labda mambo yaharibike, bado haijatimia? Nauliza tu!

  Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
 2. Replica

  Aliyemtapeli Ridhwani Kikwete milioni 4, atupwa jela miaka 7

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete...
 3. Kiboko ya Jiwe

  Kwangu Mzee Kikwete ndiye baba wa Taifa, hao wengine mnaowasifu hawana maajabu

  Hello! Mambo mengi munayoyaona katika taifa hili yalifanyika kipindi cha Rais Kikwete na yale yaliyofanyika kipindi cha Magufuli na Samia mengi yaliasisiwa au kutiliwa mkazo zaidi kipindi cha Kikwete. Kipindi cha Magufuli tumetangaziwa viwanda hewa maelfu kwa maelfu, kipindi cha Samia sijui...
 4. P

  Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

  Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
 5. Kaka yake shetani

  Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

  Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
 6. Crocodiletooth

  Umefika wakati, Jakaya Kikwete ajitokeze na aseme kwanini alisitisha mchakato wa Katiba Mpya

  Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule! Just simply case! Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue!
 7. Pfizer

  Ridhiwani Kikwete: Ndani ya kipindi cha miaka miwili, Serikali imeshawaajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii zaidi ya 2140

  SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
 8. B

  Tundu Lissu amekuwa Champion wa Tume za Uchunguzi kuhusu Muundo wa Muungano za Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete

  Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana. Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku akishangiliwa na Umati wa watu wengi sana. Alifafanua namna Marais wa Jamhuru ia Muungano wa Tanzania...
 9. Replica

  Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

  Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
 10. S

  Kiona Mbali: Bashite kama Lowassa; Mama kama Kikwete. Kisha Bashite atajiuzulu kumuokoa Mama

  Hii ni hint itayoelewaka kwa wenye akili na wafuatilaji wazuri wa siasa za Bongo. Ni mtazamo wangu kuwa,baada ya Bashite kuongea alichoongea, kulikuwa na reaction ya walioguswa lengo wasionekane wabaya kwa Mama. Kwa maana ya kwamba wamesingiziwa ingawa hakutaja mtu ila wanaotajwa wanajjulikana...
 11. B

  Ridhiwan Kikwete atumia siku yake ya kuzaliwa kusambaza upendo kwa wengine, afikisha miaka 45

  Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024, Kikwete ameitumia kusambaza upendo kwa wananchi mbalimbali kwa kutoa vyakula mbalimbali. Kikwete...
 12. Chizi Maarifa

  Miaka 10 ya Utawala wa Kikwete haya ndo mambo muhimu sana.

  1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako. 2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
 13. Msanii

  Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

  Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
 14. Pfizer

  Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

  Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa wa ajira tofauti na hapo awali ambapo watu walilazimika kusafiri hadi Jijini Dodoma kwa ajili wa...
 15. GENTAMYCINE

  Kwanini hii Teua Tengua haikuwepo kwa akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Kikwete, ila kwa Magufuli ilikuwepo na sasa kwa Samia ndiyo imeshazoeleka?

  Jukumu langu Kubwa GENTAMYCINE katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni yenu ili niujue Udhaifu wa Asili wa Mtu, Taasisi zake na Wasaidizi wake Wapuuzi na Wasioijua Kazi yao vyema.
 16. Termux

  Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu ni kufuru

  Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏 • Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. • Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. • Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa • Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma Kikwete • Mke wa John P. Magufuli, Janeth Magufuli • Mume wa Samia S. Hassan, Hafidh...
 17. OKW BOBAN SUNZU

  Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

  Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza. Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi...
 18. Mdude_Nyagali

  Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

  Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete. Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
 19. Suley2019

  Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

  Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema: "Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na...
Back
Top Bottom