tafiti

Tafiti was an animated search engine launched by Microsoft Corp. and TrappsInteractive to showcase the Silverlight animation and video player.
It was launched in 2007 and was discontinued in 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Mzumbe kusogezwa Oktoba badala ya Novemba na Disemba inatuathiri Wahitimu

    Mahafali ya Mzumbe Awali, mahafali yalipangwa kufanyika mwezi Desemba, jambo ambalo lingetupatia muda wa kutosha kukamilisha tafiti zetu na kuwa na uhakika wa kuhitimu mwaka huu. Hata hivyo, tangazo la ghafla la tarehe 10 kuhusu kuhamishiwa kwa mahafali mwezi Oktoba kutokana na El Niño...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Tafiti; 90% ya waJF wana maisha mazuri sio njaa kali.

    Utafiti unaonyesha 90% ya members wa Jf wana good life sio njaa kali.. Wengi wako uchumi wa juu na wachache uchumi wa kati.
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Bomoa bomoa ya vibanda vya wamachinga ni kwa sababu hawakumchagua rais Samia pamoja na kupewa Tisheti na pesa

    Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma. Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia kura na hawamtaki. Politika science has revelead.
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hizi tafiti nyingine mmh..❗

    Unatoa gesi mara 32 kwa siku, Wanasayansi watengeneza nguo za ndani kuthibitisha hilo https://bbc.in/4iMWAQn
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ogopa watu ambao mara nyingi wanatus wenzao "wewe *****/shoga", tafiti zinaonesha mtu anaependa kuongelea taharuki fulani mara nyingi nae ni mhanga

    Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tafiti Na Gunduzi Za Wanasayansi Chipukizi Zinaunga Mkono Lengo La Kuanzisha Shule Za Amali - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo, nishati, mazingira na afya zinazotolewa kwa wanasayansi chipukizi na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti zaonyesha Watanganyika na Wazanzibari hawautaki Muungano. Kura zipigwe upya ili wananchi waamue kuuvunja au ubakie

    Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai. Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf. Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa. Wazanzibar wanawanyonya kwa kutumia rasilimali zao. Suluhu ni kuitishwa kwa kura ili wananchi waamue...
  8. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania WATAFITI 15 WA UDOM WANG'ARA TUZO ZA KITAIFA, WATAMBULIWA KWA UCHAPICHAJI WA TAFITI KIMATAIFA

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hadhi ya juu kimataifa. Watafiti hao wa UDOM ni miongoni mwa washiriki...
  9. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wito: Tuweke tafiti za kilimo za Tanzania kidigitali ili zitumike na watafiti, wakulima, Serikali na teknolojia kama AI

    Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue? Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
  10. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kama tafiti zinavyoonesha ni kweli gen z sio wanywaji sana wa pombe ila sanaa yao kubwa ni hii hapa

    Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁 Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
  11. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Tumia tafiti sahihi kupata uhalisia, epuka kupotoshwa

    Utafiti ni mojawapo ya vyanzo muhimu vya taarifa, lakini si kila utafiti unaochapishwa ni sahihi au unawakilisha ukweli. Kabla ya kuamini hitimisho la utafiti wowote, hakikisha umetathminiwa kwa kina. Mfano mzuri ni utafiti uliochapishwa mwaka 1998 katika jarida la The Lancet uliodai kuwa...
  12. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ni Chama Cha Watu Wenye Akili Ndogo Lakini Wenye Mioyo ya Uovu. Mwenye Akili na Mtu Mwema Unawezaje Kuwa CCM?

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa ndiyo hitimisho: CCM 1. CCM inaungwa mkono zaidi na watu ambao ama wana akili ndogo, ama watu wasio na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ucheleweshwaji wa Kimaksudi na Ukatishwaji Tamaa wa Wanafunzi wa Postgraduate kutokana na Usimamizi Mbaya wa Tafiti UDOM

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate. Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana. Mfano halisi: Kuna...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Bangi inaweza kukufanya ukumbuke vitu ambavyo haijawahi kutokea kabisa. Unajiona uko New York kumbe uko Kigoma ndani ndani

    unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi Cc Vincenzo Jr
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tafiti zanaonyesha wanaume weupe hawapendi mapenzi

    Hapo vip! Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi. Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri kama mali,biashara kubwa,technology,utawala ,magari mzuri,majumba ya kifahari n.k Wanasema ndio maana...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania REDETI tupeni Tafiti za kupaisha Wagombea wa CCM

    Mmesahau wajibu wenu wa kusifu Wagombea wetu CCM kipindi cha Uchaguzi kwa asilimia (%). Mnakwama wapi?
  18. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  19. BUSINESS IDEAS ACADEMY

    JamiiForums Tanzania Tafiti Zinaonyesha 75% ya Matajiri Tanzania ni Wajasiliamali

    📊 TAFITI ZINAONESHA! ✅ 75% ni Wajasiriamali ✅ 15% ni Wawekezaji ✅ 7% ni Wanamichezo ✅ 3% ni Wasanii ❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu 👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri? Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Vijana chini ya miaka 35 huamini zaidi Conspiracy theories

    Utafiti mpya uliofanywa kwa ushirikiano kati yangu na Daniel Stockemer kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, uliotolewa katika jarida la Political Psychology, umeonesha kuwa umri ni miongoni mwa vihisishi vikuu vya kuamini Conspiracy theories — lakini si kwa namna ambayo wengi wangetegemea. Watu walio...
Back
Top Bottom